CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

Mimi mwanachadema nalaani vikali hilo tukio na wote walofanya hvo washughulikiwe haraka
 
Wamepoke msiba kwa masikitiko makubwa! Vipi akina mawazo na wale wengine 'mlipokea kwa furaha kubwa'?
 
Hakuropoka. Ndivyo ilivyokuwa, amekuwa one term selected president and another term by force and fake election
Acha ujinga wenu, wewe mwaka 2015 ulikuwa unasema JPM hakushinda ila ni Lowassa aliyeshinda. Kabla ya uchaguzi nilikuelezaje? Hamjui kampeni, huwezi kumtukana mtu aliye madarakani ukategemea kushinda. Unapandisha hasira ili akumalizie mbali.

Nakushauri utafute ulaji kwa kukimbilia ubalozi wa burundi

Nafufua sasa sredi zako
 
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.

Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.

Rip Mlelwa

Maendeleo hayana vyama!

Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Chanzo: ITV habari

Siasa siyo Uadui
Kazi nzuri sana
 
Acha ujinga wenu, wewe mwaka 2015 ulikuwa unasema JPM hakushinda ila ni Lowassa aliyeshinda. Kabla ya uchaguzi nilikuelezaje? Hamjui kampeni, huwezi kumtukana mtu aliye madarakani ukategemea kushinda. Unapandisha hasira ili akumalizie mbali.

Nakushauri utafute ulaji kwa kukimbilia ubalozi wa burundi

Nafufua sasa sredi zako

Huoni aibu kuandika "huwezi kumtukana mtu aliye madarakani ukategemea kushinda. Unapandisha hasira ili akumalizie mbali"
Nakushukuru kwa kukiri kwako mwizi wewe!
 
Mbatia,Membe na Lipumba walimtukana Rais? Mbona hawakuambulia chochote.

Msitafute justification za kuhalalisha upuuzu uliofanyika. Whether Lissu angekua bubu au angepongeza juhudi bado tu mngempa kura 2M pekee not more!!

Afterall mna prove kuwa urais hauamuliwi na Raia bali na incumbent. Afu mnashabikia!

Kwa mawazo hya acha CCM itawale milele
 
Acheni utoto, leo nimemuona mnayemlambaga mata.ko TL akipanda ndege kwa kujibebea vibegi vyake viwili huyooooo kubeba mabox ubeleji. Umfuate uwe houseboy wake
 
Mbatia,Membe na Lipumba walimtukana Rais? Mbona hawakuambulia chochote.

Msitafute justification za kuhalalisha upuuzu uliofanyika. Whether Lissu angekua bubu au angepongeza juhudi bado tu mngempa kura 2M pekee not more!!

Afterall mna prove kuwa urais hauamuliwi na Raia bali na incumbent. Afu mnashabikia!

Kwa mawazo hya acha CCM itawale milele
You need to grow dude! Huo ndio uchaguzi. Hivi hukuona Zito anamsukumizia Membe gunia bovu. Kwa bahati membe kasituka akabwaga manyanga na goli la Simba la dakika ya 89. Hivi hujui kuwa Mbowe anautaka urais ila alijua huwezi kumtekenya achilia mbali kumtoa Rais aliye madarakani bila mbinu kama za 2010? Akamwachia gunia la misumari jamaa aliyeheuka akiwa darasa la sita huko Singida (TL). Asivyo na akili akaanza kutoa mitusi na mapovu mdomoni. Leo hii kasepa na Ehiopian na Chakaza anasononeka kwa vile hakwenda naye. Yule kichaa na risasi zilimuongezea ukichaa. Nani kakaa siti ya abilia na apigwe risasi upande wa kulia? Maajabu haya yapo TZ na kwa TL pekee
 
Nilidhani unakuja na hoja za kueleweka kumbe cheap propaganda. Aisee tuheshimiane mkuu, I deserve a better debate than with a douche scumbag like you.

Tafuta darasa la 7 mwenzio umwambie huu upuuzi.
 
Naililia nchi yangu Tanzania, kweli vijana wa kitanzania tumefikia hatua ya kuuana? Dah damu ya kijana huyu itawalilia siku zote wauaji Hawa pamoja na familia zao! Chuki hii inaenezwa na kupandikizwa na upinzani bila sababu yoyote!
 
Nilidhani unakuja na hoja za kueleweka kumbe cheap propaganda. Aisee tuheshimiane mkuu, I deserve a better debate than with a douche scumbag like you.

Tafuta darasa la 7 mwenzio umwambie huu upuuzi.
Mie natafuta aliyemaliza la nne maana sijawahi kufika la 5
 
Back
Top Bottom