Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Ila inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila ukifika wakati wa uchaguzi demokrasia inadumaa, (inakuwa changa). Swali fikirishi ni nani anaidumaza demokrasia Tanzania?
"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama mbalimbali ambao waliwekewa mapingamizi katika hatua za awali.
Katika maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM, tumeelezana kuwa ni vizuri watu wapate nafasi, hivyo nitumie nafasi hii kutoa wito kwa waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa, tunatambua umefuata sheria lakini ni muhimu kukumbuka kwamba demokrasia yetu bado ni changa, ni muhimu tuzidi kukua.
Soma Pia:
Tunaziomba mamlaka hasa TAMISEMI, katika hatua ya mwisho za rufaa kuyapuuza makosa madogomadogo ili Watanzania wengi zaidi wapate nafasi ya kugombea. Yapo makosa makubwa, kwa mfano nafasi ni maalumu kwa wanawake lakini amejaza mwanaume"
Na yote yaliyofanyika ni wazi kabsa kulikuwa na maelekezo toka juu....Tamisemi ni wizara iliyoko ndani ya Ofisi ya Raisi.
..sio wizara kamili kama Wizara ya Fedha, Mambo ya ndani, etc.
..kilichotokea ni Waziri wa Tamisemi kuiomba Tamisemi ....
..Nadhani MAKELELE yamekuwa mengi wanaona haya kuendelea na uchaguzi waliokuwa wamepanga.
Si alitaka kushindana na milele ameweza sasa?Sote tutaoza mbona
Hiyo ndio mitambo ya fikra ya chama usiishangae sana.Akili yako fupi, inaona nchi moja mbele.
Wenzako wanafuata taratibu zote ili mwisho wa siku wawe na uhalali wa katumia njia mbadala