Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu akusamehe sana na kukuponya magonjwa yako yote sugu
Akauliza kwa sauti ya chini " Masii ni mambo yapi yamchukizayo Mungu?"

Amiiiiiin Amiiiiiin nawaambieni Mungu huchukizwa na unafki na uwongo, na hujitenga na watu wa kariba ya namna hii
 
Mambo yamekwisha kuharibika sana. Hagombei
 

Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 4
Uzuri ni kwamba tabu, shida, mateso na mahangaiko vikija vinatukumba wote.
Tanzania ya Rais Samia ni yenye kuleta matumaini na yenye kutoa fursa mbalimbali za kiuchumi.kikubea ni kujituma na kufanya kazi kwa juhudi,bidii na maarifa
 
Watanzania wao tayari walishampitisha kwenye mioyo yao.wanasubiri tu CCM iwapelekee kipenzi chao ili wampigie kura za ndio kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM na Mama yetu Mpendwa atashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Ni raha na furaha kwa watanzania kuongozwa na Rais Samia.kila mmoja anajiona furaha sana na hata kupona akimskia au kumuona Rais Samia.Mama ndio chaguo la mamilioni ya watanzania
 
Hatuhuitaji kampeni Safari hii FOMU ya URAIS kazime ziwe za kutosha,kila mwana CCM mwenye sifa anayo HAKI ya kuchukua FOMU....
Anzisha chama chako ukitaka.lakini sisi wana CCM mgombea wetu ni Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan
 
Watanzania wao tayari walishampitisha kwenye mioyo yao.wanasubiri tu CCM iwapelekee kipenzi chao ili wampigie kura za ndio kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Sasa usiseme "CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia".

CCM hawaamui kumpa mitano tena ya urais Samia.

Uamuzi huo ni Watanzania wote.

Huelewi wapi?
 
Sasa usiseme "CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia".

CCM hawaamui kumpa mitano tena ya urais Samia.

Uamuzi huo ni Watanzania wote.

Huelewi wapi?
Unajuwa CCM Ina wanachama,wafuasi , wakereketwa n mashabiki wangapi Nchi hii? CCM ndio mwamuzi wa kila kitu hapa Nchini.utake usitake kitakachoamuliwa na CCM ndio sauti ya watanzania wote hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…