hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Yes,
Ni mitano tena ya uhakika na ya kuaminika kwa kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan 👊💪🌹
Mtu mmoja with different ID 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,
Ni mitano tena ya uhakika na ya kuaminika kwa kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan 👊💪🌹
Akauliza kwa sauti ya chini " Masii ni mambo yapi yamchukizayo Mungu?"Mungu akusamehe sana na kukuponya magonjwa yako yote sugu
Mambo yamekwisha kuharibika sana. HagombeiNdugu zangu Watanzania,
Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.
Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.
Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.
Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.
Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzaniaView attachment 3114208
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Endelea kutapatapa
Umetoka hospitalini? Maana ninakuwa labda ndugu zako wamekupelekaMambo yamekwisha kuharibika sana. Hagombei
Tanzania ya Rais Samia ni yenye kuleta matumaini na yenye kutoa fursa mbalimbali za kiuchumi.kikubea ni kujituma na kufanya kazi kwa juhudi,bidii na maarifaUzuri ni kwamba tabu, shida, mateso na mahangaiko vikija vinatukumba wote.
Yeye kazi yake ni kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Rais Samia.NCHIMBI NDYE MWENYE KUPONESHA MAJERA YA WATZ.
Hiyo mimba changa inakusumbua sana kama vipi ichomoe tuUmetoka hospitalini? Maana ninakuwa labda ndugu zako wamekupeleka
Watanzania wao tayari walishampitisha kwenye mioyo yao.wanasubiri tu CCM iwapelekee kipenzi chao ili wampigie kura za ndio kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaHata ikiwa hivyo.
Wana CCM hawampi miaka mitano tena Samia kuwa rais. Huu uchaguzi wa urais si uchaguzi wa CCM.
Samia ikiwa atapewa mitano tena, atapewa mitano tena na wananchi wa Tanzania.
Wana CCM wanaweza kumpa Samia nafasi ya kugombea urais tu.
Basi itabidi ukaendelee tu na matibabu maana naona bado kabisa hujapona.au umetoroka?Hiyo mimba changa inakusumbua sana kama vipi ichomoe tu
Ichomoe tu maana siyo kwa kutapatapa huko kama headless chickenBasi itabidi ukaendelee tu na matibabu maana naona bado kabisa hujapona.au umetoroka?
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM na Mama yetu Mpendwa atashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaKwa Mfumo wa Taifa Letu hata watanzania wasipompigia mama kura Lazima atashinda tena ushindi wakishindo kwasababu Ya uwepo wa tume ya uchaguzi ambayo ipo kulinda maslahi ya bosi wake ambae ni raisi wa nchi.Lkn siku katiba ya nchi itakapo badilika na tukawa na tume huru ya uchaguzi watanzania tutakuwa na uwezo wakumchagua raisi tunayemtaka lkn kwasasa bora liende tu.
Ni raha na furaha kwa watanzania kuongozwa na Rais Samia.kila mmoja anajiona furaha sana na hata kupona akimskia au kumuona Rais Samia.Mama ndio chaguo la mamilioni ya watanzaniaCCM mnapigana vita yenu wenyewe Kwa wenyewe
And I think mnatengeneza mazingira flan ya watu kupata kitu cha kufanya au kupata posho
Mnatengeneza mazingira kama watu hawamtaki Rais Samia, au watu wanamashaka na Uongozi wake, Jambo ambalo sio la kweli
Hata ikiwa no kampeni, no anything, ufanyike uchaguzi obviously mama samia atashinda tena Kwa Kura nyingi
Na ushindi wake hautotokana na nyie mnaojifanya kuimba imba hapa kila saa na kila siku hapana it's because watu wamemwelewa
Acheni hayo mambo na mdeal na mambo mengine ya msingi zaidi
Acheni kujifanya mnatengeneza tatizo then badae mjifanye kashinda Kwa ajili ya nguvu zenu
Tanzania kuwa na Rais wa kutoka Chama kingine bado Sana tena sanaaaa
Anzisha chama chako ukitaka.lakini sisi wana CCM mgombea wetu ni Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu HasssanHatuhuitaji kampeni Safari hii FOMU ya URAIS kazime ziwe za kutosha,kila mwana CCM mwenye sifa anayo HAKI ya kuchukua FOMU....
Sasa usiseme "CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia".Watanzania wao tayari walishampitisha kwenye mioyo yao.wanasubiri tu CCM iwapelekee kipenzi chao ili wampigie kura za ndio kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Unajuwa CCM Ina wanachama,wafuasi , wakereketwa n mashabiki wangapi Nchi hii? CCM ndio mwamuzi wa kila kitu hapa Nchini.utake usitake kitakachoamuliwa na CCM ndio sauti ya watanzania wote hiyo.Sasa usiseme "CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia".
CCM hawaamui kumpa mitano tena ya urais Samia.
Uamuzi huo ni Watanzania wote.
Huelewi wapi?
Silipwi hata mia .ni uzalendo na kuunga mkono kazi nzuri na njema zinazofanywa na Mama huyu aliye chaguo la Mungu na aliyeinuliwa na Mungu MwenyeweUnalipwa bei gani chief?
Naona umechanganyikiwa kabisa ndugu yangu.Mtu mmoja with different ID 😂