Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.

Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.

Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.

Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.

Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzaniaView attachment 3114208

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umeamua wewe na nani? Maana unasema tumeamua
 
Nimeamua mimi na hawa hapa👎
IMG-20240929-WA0000.jpg
 
Kimsingi CCM hawachagui rais, Watanzania ndio wanachagua rais.

Labda kama unaongelea kuiba uchaguzi na kubadilisha matokeo.
Hawa hapa ndio wanaomchagua Rais👎
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.

Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.

Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.

Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.

Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzaniaView attachment 3114208

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndio Katiba ya CCM inavyotaka? Kama ndivyo si hadi Watanzania wapige kura 2025? Au ni kwa mujibu wa kauli ya Nape?
 
Toeni matokeo tu si mmeshachakata kule maporini mbona nyuzi zimezidi? Mmekosa confidence? Wekeni tu 99% mmeshinda kama jiwe aliyegeuka vumbi tuendelee na maisha! Tushachoka nyuzi mpya kila dakika
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.

Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.

Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.

Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.

Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzaniaView attachment 3114208

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpeni mia
 
Ni raha na furaha kwa watanzania kuongozwa na Rais Samia.kila mmoja anajiona furaha sana na hata kupona akimskia au kumuona Rais Samia.Mama ndio chaguo la mamilioni ya watanzania View attachment 3114252

Umati wa watu sio ishu Kwa ccm
Ni Jambo dogo Sana

Hapo chini nimekuwekea magu na jk

So ishu za watu kujaa sio ishu tena

Shida yenu mnakosa hoja za msingi ndio maana mnakuja na ishu za kujaza watu kitu ambacho ni kawaida Kwa cc
 
Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    198 KB · Views: 2
  • _MG_9248.jpg
    _MG_9248.jpg
    184.7 KB · Views: 2
Umati wa watu sio ishu Kwa ccm
Ni Jambo dogo Sana

Hapo chini nimekuwekea magu na jk

So ishu za watu kujaa sio ishu tena

Shida yenu mnakosa hoja za msingi ndio maana mnakuja na ishu za kujaza watu kitu ambacho ni kawaida Kwa cc
Kwa hiyo ni lazima ufahamu ya kuwa CCM ndio iliyobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.kwa sasa mamilioni hayo ya watanzania wameamua kumpatia Mama Miaka Mitano kwa kishindo
 
Rais hajachaguliwa, msijimwambafy kuwa mmeamua.

Yule mwingine Magufuli mlipiga kelele hivihivi mitano tena akaishia kujifia zake mbali huko.
Suala la kifo ni mapenzi na mipango ya Mungu.hata wewe utakufa.Suala la ushindi kishindoo wa Rais Samia lipo wazi kabisa kuwa ni lazima ashindeee tu mtake msitake
 
Back
Top Bottom