Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
Mbona wewe hujauwawaKwa jinsi alivyoonyesha umahiri wa kuteka na kuua wapinzani ni kwanini msimpe hiyo mitano tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe hujauwawaKwa jinsi alivyoonyesha umahiri wa kuteka na kuua wapinzani ni kwanini msimpe hiyo mitano tena?
Unaumia ukiwa wapi huko?Walishasema wenye ccm yao, we nani anakujua huko makongolosi unachuma mchicha kijana?
Sikiliza tunasubiri matokeo ya michakato ya porini na ushindi wake wa 100% tangazeni tu acheni kutuzingua kila dakika na thread mpya
Kwani Iddy Amin aliua waganda wote?Mbona wewe hujauwawa
mbozu nipo, we kachimbe viazi kijana haya mambo sio yako subiri mgao wa tshet uache ghasia wakati watu wanakula vyao hata kukupididi huna kiwangoUnaumia ukiwa wapi huko?
Haiwezi kuwa awamu ya 6 ,wakati kipindi Cha kwanza kina miaka 3 na miezi kadhaa ni awamu ya Tano ...mnadhani cc hatujui kwann kiroboto mlimpa ubaloziShida ccm wengi hawana upako Mungu sio mwanadam
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.
Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.
Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.
Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.
Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzaniaView attachment 3114208
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanini unateseka kiasi hicho.mbozu nipo, we kachimbe viazi kijana haya mambo sio yako subiri mgao wa tshet uache ghasia wakati watu wanakula vyao hata kukupididi huna kiwango
Wewe nakupuuza tu maana najua hupo timamu kichwani.
.Wewe nakupuuza tu maana najua hupo timamu kichwani.
Kumbe ndiyo maana anaandika ujinga mwingi humu
Naona kopo na mfuniko mmekutanaKumbe ndiyo maana anaandika ujinga mwingi humu
Ni kweliHATOGOMBEA!!
Badala ya ubongo kwenye hilo fuvu wewe una ute wa yai.Naona kopo na mfuniko mmekutana
Ni Mama hadi 2030.Ni kweli
Si mpaka agombee.Ni Mama hadi 2030.