Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Lissu anaimbisha CCM yote.....January na Nape wamepewa kazi ya kuhakikisha CCM wanashinda kwa njia yoyote ile
 
Kikwete alisema kuna mtu CCM itamfia mikononi mwake. Sijui alikuwa anamsema nani
 
Laiti tungalijua, tungewahacha hawa watu waongee, maana watu wangechoka mapema na hii mashambulizi yao isingekuwa kivutio kama ilivyo leo. Kwa hali iliyopo, ukigeuka kulia, watu wanataka kusikia nondo za Lisu. Kuhsoto wataka kumsikiliza Lissu. Kwenye daladala lissu, sehemu za starehe ni Lissu. Makanisani


🤣🤣🤓🤓🤓🤓
 
Jiwe ameiangusha CCM vibaya. Jitu hili halina sifa ya kuwa Rais. Ni mnyapala wa barabara tu, full stop.
 
Mwingereza,
Ili kufanikiwa lazima tufike mahali wakuu wa mikoa,wakuu wa Wilaya wateuliwe na Wananchi kama wabunge wanavyoteuliwa.pili lazima wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama waombe hizo nafasi na zitangazwe na wapitishwe na bunge.Vinginevyo tutaenda mbele tutarudi nyuma kila mwaka na mwisho Kuna atakayekuja kuiuza SGR mwaka 2030.
Ahadi ya katiba mpya ndio hiyo sasa.. Inatakiwa katiba itakayotamka hayo yote.
 
Back
Top Bottom