Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga tumewaita kila haina ya majina huku wasiojulikana wakiwafanyia kweli bila kujulikana.

Tumewasweka lupango, tumewanunua kana kwamba ni mitumba. Tumetumia vyombo vya habari peke yetu. Tuliwazibia kila kona, ilikuwa ni CCM. Tumetembea vifua mbele huku tukijinasibu kama wana maendeleo. Polisi wamewatesa sana wana CHADEMA. Hawa jamaa wamekiona cha moto lakini bado wanapumua !

Tumeimba singeli za Stigllers Gorge, tumenunua midege, SGR, Flyovers, elimu bure, na kila haina ya maendeleo. Hatukuwa na kosa, tulikuwa weupe kama theluji bila kujua kwamba tulikuwa wachafu mithili ya nguruwe alijetumbukiza kwenye matope.

Ghafla bin vuu, maendeleo yote tuliyokuwa tunajivunia imegeuka kuwa kamba ya kutunyongea. Mwenyekiti wangu kakamatwa suruali chini Kibiti, "Anatoa Rushwa".

Maendeleo ya kujenga Uwanja wa ndege Kijijini Chato imegeuka kuwa kashfa ya karne.

Laiti tungalijua, tungewahacha hawa watu waongee, maana watu wangechoka mapema na hii mashambulizi yao isingekuwa kivutio kama ilivyo leo. Kwa hali iliyopo, ukigeuka kulia, watu wanataka kusikia nondo za Lisu. Kuhsoto wataka kumsikiliza Lissu. Kwenye daladala lissu, sehemu za starehe ni Lissu. Makanisani Lissu. Vijijini Lissu kila kona Lissu na Chadema.

Ingawa tumeziba vyombo vya habari kutangaza habari za Chadema, Instagram na mitandaoni ni hoja nzito za Lissu. Mbaya zaidi, muda wa kujitetea haitoshi nikiangalia miaka mitano na siku 60 za kampeni. hesabn haiku bali. Hatuwezi kutoboa

Mikutano yetu iliyokuwa Mubashara toka Ikulu, leo imegeuka kuwa Maigizo ya wana usalama kuchoma mahindi na bastola kiunoni. Maendeleo yetu ya Flyovers imekuwa Wapinzania kutaka kuuza Scrapper. Hoja mfu!

Bandugu kwa miaka mitano tumelikoroga. Sasa inabidi tulinywe. Mwaka huu kuiba kura ni kaa la moto na atakayethubutu anakwenda na maji.

Ama kweli majuto ni mjukuu!
Watavuna walichopanda
 
Hela mnachota wapi hivi maana wasanii 200 wote walipwe leo

Sisi huo muda hatuna watapanda machalii wa R tu
 
Ngoja waje wakuite mwanaCHADEMA KAMA MIMI.
 
mkuu kama kweli hu mwana ccm nikupongeze kwa uandishi kama huu ,msema ukweli ni mpenzi wa mungu , kuna sehem ccm walijikaanga wenyewe but mda wa kurekebisha bado hupo jpo haita saidia sana , maana ccm imeingiliwa hata sijui gwajima washirika wake amewaidi nini , na sijui anamuabudu mungu yupi mpaka kwenye madhabau jasho liki mtoka anawaita wachungaji wenzio waropokaji , kweli dunia ina mambo.
sasa gwajima ana pesa na makanisa ila mie sijawai kua na kanisa wala kusali kanisa lolote so kama kipindi flani alivyo mfuta mh mackonda nami leo namfuta gwajima katika uso wa tz na dunia kwa ujumla kuanzia korea na sisemi apigwe kama kauli yake but imekuwa nampa miezi 12 na imekua
 
Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga tumewaita kila haina ya majina huku wasiojulikana wakiwafanyia kweli bila kujulikana.

Tumewasweka lupango, tumewanunua kana kwamba ni mitumba. Tumetumia vyombo vya habari peke yetu. Tuliwazibia kila kona, ilikuwa ni CCM. Tumetembea vifua mbele huku tukijinasibu kama wana maendeleo. Polisi wamewatesa sana wana CHADEMA. Hawa jamaa wamekiona cha moto lakini bado wanapumua !

Tumeimba singeli za Stigllers Gorge, tumenunua midege, SGR, Flyovers, elimu bure, na kila haina ya maendeleo. Hatukuwa na kosa, tulikuwa weupe kama theluji bila kujua kwamba tulikuwa wachafu mithili ya nguruwe alijetumbukiza kwenye matope.

Ghafla bin vuu, maendeleo yote tuliyokuwa tunajivunia imegeuka kuwa kamba ya kutunyongea. Mwenyekiti wangu kakamatwa suruali chini Kibiti, "Anatoa Rushwa".

Maendeleo ya kujenga Uwanja wa ndege Kijijini Chato imegeuka kuwa kashfa ya karne.

Laiti tungalijua, tungewahacha hawa watu waongee, maana watu wangechoka mapema na hii mashambulizi yao isingekuwa kivutio kama ilivyo leo. Kwa hali iliyopo, ukigeuka kulia, watu wanataka kusikia nondo za Lisu. Kuhsoto wataka kumsikiliza Lissu. Kwenye daladala lissu, sehemu za starehe ni Lissu. Makanisani Lissu. Vijijini Lissu kila kona Lissu na Chadema.

Ingawa tumeziba vyombo vya habari kutangaza habari za Chadema, Instagram na mitandaoni ni hoja nzito za Lissu. Mbaya zaidi, muda wa kujitetea haitoshi nikiangalia miaka mitano na siku 60 za kampeni. hesabn haiku bali. Hatuwezi kutoboa

Mikutano yetu iliyokuwa Mubashara toka Ikulu, leo imegeuka kuwa Maigizo ya wana usalama kuchoma mahindi na bastola kiunoni. Maendeleo yetu ya Flyovers imekuwa Wapinzania kutaka kuuza Scrapper. Hoja mfu!

Bandugu kwa miaka mitano tumelikoroga. Sasa inabidi tulinywe. Mwaka huu kuiba kura ni kaa la moto na atakayethubutu anakwenda na maji.

Ama kweli majuto ni mjukuu!
ccm ni kunguru hafugiki
 
Mwaka tusikubali kuibiwa kura, tuzilinde na tuzisimamie ikibidi tuzipiganie ,tusikubali kuporwa ushindi bora kinuke yametuchosha haya majizi ya kura miaka na miaka.
 
Hahaha, CCM inapenda ubabe. Unayoyasema ni kumpigia mbuzi gitaa. Ukiwa legelege lazima unyanyaswe. Chama Cha Mapinduzi sio chama cha kuonea huruma vyama vingine, kwasababu hakuna chama kinachoionea CCM huruma. Kwahio pambaneni na hali zenu na CCM haijakosea kitu. 🎶Wembe ni ule ule, ushiiiindi.
 
Nyerere alisema,maadui wa kubwa nchi hii ni
Namnukuu "watu,ardhi,siasa safi,uongozi bora".
Ccm ameyaweka kando,adui wa nchi hii amemfanya ni chadema.
Huko ni kuchanganyikiwa na kupoteza mwelekeo.Pisheni!!
 
I hope so

Back
Top Bottom