Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Wewe sio kijani aisee kwa saana unaweza kuwa beberu
 
Kwahiyo mlitaka maagizo yawe kweli? nyisimlikuwa mnaigiza watu wanataka mseme bwawa la umeme litaisha lini? Leli itaisha lini namafanikio tutaanza kuyapata lini nawakati wote huo gharama zaujenzi Nani atalipa kipindi chote hicho jendege zinaingiza shilingi ngapi?

Watu wanataka kusikia hayo,,kwanini hujapandisha mshahara, hujashindwa ri wakati makusanyo nimengi kwanini matumizi yameongezeka wakati watumishi hewa, rushwa,ufisadi vyote vimedhibitiwa? Kwanini gharama zamatibabu zimepanda wakati mmeboresha huduma zamatibabu? Mambo nimengi mno.
 
Mwenyekiti akajisahau, akawa anaropoka lolote analojisikia!

Kuipigia kura CCM kwa sasa, ni utaahira 100%!
Juzi namshangaa anavyolalamika eti wakipata Urais Wapinzani watavunja flyover na ndege zitakuwa scrapers. Nikacheka sana. Nikajisemea moyoni yaani mwenyekiti amekata tamaa hivi kiasi hana hoja tena??
Kweli wakati ni ukuta.
 
Back
Top Bottom