Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
- Thread starter
- #81
Wewe kuweza?Napiga kotekote mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kuweza?Napiga kotekote mkuu
I am sad things aren't about to change for the betterI am very sad kusema kweli. Hali ya sasa mbaya kwetu wana CCM
Umeharibikiwa akili kama mgombea wenu chizi, nani hajui mazuri yaliyofanywa na ccm?Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga tumewaita kila haina ya majina huku wasiojulikana wakiwafanyia kweli bila kujulikana.
Tumewasweka lupango, tumewanunua kana kwamba ni mitumba. Tumetumia vyombo vya habari peke yetu. Tuliwazibia kila kona, ilikuwa ni CCM. Tumetembea vifua mbele huku tukijinasibu kama wana maendeleo. Polisi wamewatesa sana wana CHADEMA. Hawa jamaa wamekiona cha moto lakini bado wanapumua !
Tumeimba singeli za Stigllers Gorge, tumenunua midege, SGR, Flyovers, elimu bure, na kila haina ya maendeleo. Hatukuwa na kosa, tulikuwa weupe kama theluji bila kujua kwamba tulikuwa wachafu mithili ya nguruwe alijetumbukiza kwenye matope.
Ghafla bin vuu, maendeleo yote tuliyokuwa tunajivunia imegeuka kuwa kamba ya kutunyongea. Mwenyekiti wangu kakamatwa suruali chini Kibiti, "Anatoa Rushwa".
Maendeleo ya kujenga Uwanja wa ndege Kijijini Chato imegeuka kuwa kashfa ya karne.
Laiti tungalijua, tungewahacha hawa watu waongee, maana watu wangechoka mapema na hii mashambulizi yao isingekuwa kivutio kama ilivyo leo. Kwa hali iliyopo, ukigeuka kulia, watu wanataka kusikia nondo za Lisu. Kuhsoto wataka kumsikiliza Lissu. Kwenye daladala lissu, sehemu za starehe ni Lissu. Makanisani Lissu. Vijijini Lissu kila kona Lissu na Chadema.
Ingawa tumeziba vyombo vya habari kutangaza habari za Chadema, Instagram na mitandaoni ni hoja nzito za Lissu. Mbaya zaidi, muda wa kujitetea haitoshi nikiangalia miaka mitano na siku 60 za kampeni. hesabn haiku bali. Hatuwezi kutoboa
Mikutano yetu iliyokuwa Mubashara toka Ikulu, leo imegeuka kuwa Maigizo ya wana usalama kuchoma mahindi na bastola kiunoni. Maendeleo yetu ya Flyovers imekuwa Wapinzania kutaka kuuza Scrapper. Hoja mfu!
Bandugu kwa miaka mitano tumelikoroga. Sasa inabidi tulinywe. Mwaka huu kuiba kura ni kaa la moto na atakayethubutu anakwenda na maji.
Ama kweli majuto ni mjukuu!
Acha uongo wewe siyo ccm.kwa taarifa yako ccm ushindi ni 95%Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga tumewaita kila haina ya majina huku wasiojulikana wakiwafanyia kweli bila kujulikana.
Tumewasweka lupango, tumewanunua kana kwamba ni mitumba. Tumetumia vyombo vya habari peke yetu. Tuliwazibia kila kona, ilikuwa ni CCM. Tumetembea vifua mbele huku tukijinasibu kama wana maendeleo. Polisi wamewatesa sana wana CHADEMA. Hawa jamaa wamekiona cha moto lakini bado wanapumua !
Tumeimba singeli za Stigllers Gorge, tumenunua midege, SGR, Flyovers, elimu bure, na kila haina ya maendeleo. Hatukuwa na kosa, tulikuwa weupe kama theluji bila kujua kwamba tulikuwa wachafu mithili ya nguruwe alijetumbukiza kwenye matope.
Ghafla bin vuu, maendeleo yote tuliyokuwa tunajivunia imegeuka kuwa kamba ya kutunyongea. Mwenyekiti wangu kakamatwa suruali chini Kibiti, "Anatoa Rushwa".
Maendeleo ya kujenga Uwanja wa ndege Kijijini Chato imegeuka kuwa kashfa ya karne.
Laiti tungalijua, tungewahacha hawa watu waongee, maana watu wangechoka mapema na hii mashambulizi yao isingekuwa kivutio kama ilivyo leo. Kwa hali iliyopo, ukigeuka kulia, watu wanataka kusikia nondo za Lisu. Kuhsoto wataka kumsikiliza Lissu. Kwenye daladala lissu, sehemu za starehe ni Lissu. Makanisani Lissu. Vijijini Lissu kila kona Lissu na Chadema.
Ingawa tumeziba vyombo vya habari kutangaza habari za Chadema, Instagram na mitandaoni ni hoja nzito za Lissu. Mbaya zaidi, muda wa kujitetea haitoshi nikiangalia miaka mitano na siku 60 za kampeni. hesabn haiku bali. Hatuwezi kutoboa
Mikutano yetu iliyokuwa Mubashara toka Ikulu, leo imegeuka kuwa Maigizo ya wana usalama kuchoma mahindi na bastola kiunoni. Maendeleo yetu ya Flyovers imekuwa Wapinzania kutaka kuuza Scrapper. Hoja mfu!
Bandugu kwa miaka mitano tumelikoroga. Sasa inabidi tulinywe. Mwaka huu kuiba kura ni kaa la moto na atakayethubutu anakwenda na maji.
Ama kweli majuto ni mjukuu!
Kuna mshenx mwingine nimemsikia akiinanga CHADEMA na TAL-2020 inachekesha Sana....!!Siamini kabisa. Tumewaburuza jamaa kwa miaka mitano leo tunaonekana kama mazwazwa hata kujitetetea hatuwezi tunabakia kuwatumia wakina TID. Shame on Polepole. Sijui walimuokota wapi!
Umeharibikiwa akili kama mgombea wenu chizi, nani hajui mazuri yaliyofanywa na ccm?
Bila kupokonya kura Magu 2021 harudiMazuri yaliyofanywa na CCM ni kwa ajili ya Wana-CCM na Magufuli wao na siyo Watz wa vyama vingine na Wasio na vyama...!!
Makundi ya WATUMISHI, WAFANYI BIASHARA na GRADUATES wame- suffer sana kwa kipindi hii ya miaka 5 ..!!
Jiwe asitegemee kuata kura yoyote toka Makundi haya labda iwe za kughushi🤣🤣!!!
Ndio hoja walizonazo ambazo nazo zimeshafeli.Tukishindwa kujibu hoja tunakwambia kunaviashiria vya uvunjifu wa amani, ukitugonga kwenye msumari umetumwa na mabeberu
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Mwenyekiti akajisahau, akawa anaropoka lolote analojisikia!
Kuipigia kura CCM kwa sasa, ni utaahira 100%!
Sawa sawa! Angalia wasikuite Malaya was kisiasa!Napiga kotekote mkuu
usimtisheSema ndugu Mwingereza upo Scotland ungekuwa Matombo Ugali wa dagaUduvi mchana huu ungekuwa juu yangu.
muongo anaeleza uongo wake, alaf mnafki anaukubali uongo kinafki, watoto wa mjini tunasema ngoma ndrooKatika Awamu nilizoshuhudia nikiwa najitambua aisee hii awamu iacheni tu imekithiri sana kwa vitu viwili pacha "UONGO NA UNAFKI"
Haiandikwi mgogoniSawa sawa! Angalia wasikuite Malaya was kisiasa!
Waafrika kuna mtu alituroga. Kweli mtu anaweza kuandika upuuzi wa namna hii. Eti kwa miaka 5 CCM imelikoroga kwa kununua ndege, ElimuBure, Flyover, SGR na StieglersGorge.Kwa miaka mitano uwanja ulikuwa ni wetu. Tumewafunga minyororo ya miguuni, mikononi na hata shingoni huku midomo yao tumeyafunga kwa vitambaa. Uwanja ulikuwa ni wetu, tumewakejeli, tumewasimanga tumewaita kila haina ya majina huku wasiojulikana wakiwafanyia kweli bila kujulikana.
Tumewasweka lupango, tumewanunua kana kwamba ni mitumba. Tumetumia vyombo vya habari peke yetu. Tuliwazibia kila kona, ilikuwa ni CCM. Tumetembea vifua mbele huku tukijinasibu kama wana maendeleo. Polisi wamewatesa sana wana CHADEMA. Hawa jamaa wamekiona cha moto lakini bado wanapumua !
Tumeimba singeli za Stigllers Gorge, tumenunua midege, SGR, Flyovers, elimu bure, na kila haina ya maendeleo. Hatukuwa na kosa, tulikuwa weupe kama theluji bila kujua kwamba tulikuwa wachafu mithili ya nguruwe alijetumbukiza kwenye matope.
Ghafla bin vuu, maendeleo yote tuliyokuwa tunajivunia imegeuka kuwa kamba ya kutunyongea. Mwenyekiti wangu kakamatwa suruali chini Kibiti, "Anatoa Rushwa".
Maendeleo ya kujenga Uwanja wa ndege Kijijini Chato imegeuka kuwa kashfa ya karne.
Laiti tungalijua, tungewahacha hawa watu waongee, maana watu wangechoka mapema na hii mashambulizi yao isingekuwa kivutio kama ilivyo leo. Kwa hali iliyopo, ukigeuka kulia, watu wanataka kusikia nondo za Lisu. Kuhsoto wataka kumsikiliza Lissu. Kwenye daladala lissu, sehemu za starehe ni Lissu. Makanisani Lissu. Vijijini Lissu kila kona Lissu na Chadema.
Ingawa tumeziba vyombo vya habari kutangaza habari za Chadema, Instagram na mitandaoni ni hoja nzito za Lissu. Mbaya zaidi, muda wa kujitetea haitoshi nikiangalia miaka mitano na siku 60 za kampeni. hesabn haiku bali. Hatuwezi kutoboa
Mikutano yetu iliyokuwa Mubashara toka Ikulu, leo imegeuka kuwa Maigizo ya wana usalama kuchoma mahindi na bastola kiunoni. Maendeleo yetu ya Flyovers imekuwa Wapinzania kutaka kuuza Scrapper. Hoja mfu!
Bandugu kwa miaka mitano tumelikoroga. Sasa inabidi tulinywe. Mwaka huu kuiba kura ni kaa la moto na atakayethubutu anakwenda na maji.
Ama kweli majuto ni mjukuu!
DJ alikua anapambana na nyagi zake mkuu5 yrs wako bize kupambana na mbowe badala ya tatizo la ajira kwa vijana
Ndio maana mlimvunja mguuDJ alikua anapambana na nyagi zake mkuu