Uchaguzi 2020 CCM tumefanya makosa kwa miaka mitano. Hakuna wa kumlaumu, sasa tulinywe!

Lissu anaimbisha CCM yote.....January na Nape wamepewa kazi ya kuhakikisha CCM wanashinda kwa njia yoyote ile
 
Kikwete alisema kuna mtu CCM itamfia mikononi mwake. Sijui alikuwa anamsema nani
 


🤣🤣🤓🤓🤓🤓
 
Jiwe ameiangusha CCM vibaya. Jitu hili halina sifa ya kuwa Rais. Ni mnyapala wa barabara tu, full stop.
 
Ahadi ya katiba mpya ndio hiyo sasa.. Inatakiwa katiba itakayotamka hayo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…