CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Dodoma, Tanzania

Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana.

Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina elekezi kwa Makatibu Mjini Dodoma kesho.

Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa familia, ndugu, viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Iringa kufuatia kifo cha ghafla na cha kikatili.

Tunawaomba wanachama wetu wawe watulivu wakati vyombo vya dola vikifuatilia na kuchunguza tukio hili, ili wahusika waweze kufikishwa katika vyombo vya kisheria.

CPA. Amos Gabriel Makalla
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA,
ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO

13 Novemba,2024
Pia soma ~ Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana
mnapokeaje kwa mshituko sasa, Kifo si kifo tu mambo mengine yaendelee
 
Mdude ndio huwa anaapa kuua watu, na juzi Mwanamapinduzi katishia kumuua Samia, labda Polisi waanzie hapo
 
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Dodoma, Tanzania

Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana.

Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina elekezi kwa Makatibu Mjini Dodoma kesho.

Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa familia, ndugu, viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Iringa kufuatia kifo cha ghafla na cha kikatili.

Tunawaomba wanachama wetu wawe watulivu wakati vyombo vya dola vikifuatilia na kuchunguza tukio hili, ili wahusika waweze kufikishwa katika vyombo vya kisheria.

CPA. Amos Gabriel Makalla
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA,
ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO

13 Novemba,2024
Pia soma ~ Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana
Kama mlivyokuwa mmepokea taarifa ya Kifo KIBAO WA CHADEMA 🤔🤔
 
Bado "ABDU"🤣😀😀

baada ya hapo ndio matukio haya yatakaoma, siku royal/Nobal family members wakiguswa
 
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Dodoma, Tanzania

Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana.

Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina elekezi kwa Makatibu Mjini Dodoma kesho.

Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa familia, ndugu, viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Iringa kufuatia kifo cha ghafla na cha kikatili.

Tunawaomba wanachama wetu wawe watulivu wakati vyombo vya dola vikifuatilia na kuchunguza tukio hili, ili wahusika waweze kufikishwa katika vyombo vya kisheria.

CPA. Amos Gabriel Makalla
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA,
ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO

13 Novemba,2024
Pia soma ~ Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana
Si dalili njema kwa Taifa, kama alivyouwawa mzee Kibao
 
Samia alisema kifo ni kifo tu so kwangu Mimi I don't care afe Samia, Afe Majaliwa , mwinyi au mpango sawa the maana kifo ni kifo tu

Hakuna Jambo jipya hapa mjini Kama alikufa Nyerere wewe Nani usife kufeni ikiwezekana mzime kwa pamoja wote!!!
 
Back
Top Bottom