Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hii habari umeiamini?Usalama wa Taifa imeshindikana kabisa kudhibiti haya matukio?
Kunaanza kunoga, hata kwa kungwi kuliweMbuyu ulianza kama mchicha
Ingekuwa aliyeuawawa ni mpinzani, basi kuna wendawazimu wangekimbilia moja kwa moja kumhusisha marehemu na wivu wa mapenzi, kuchukuliana waume, nk!! Na huku wakiwa hawana uthibitisho wowote ule.CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Dodoma, Tanzania
Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana.
Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina elekezi kwa Makatibu Mjini Dodoma kesho.
Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa familia, ndugu, viongozi na wanachama wa CCM Mkoa wa Iringa kufuatia kifo cha ghafla na cha kikatili.
Tunawaomba wanachama wetu wawe watulivu wakati vyombo vya dola vikifuatilia na kuchunguza tukio hili, ili wahusika waweze kufikishwa katika vyombo vya kisheria.
CPA. Amos Gabriel MakallaPia soma ~ Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA,
ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO
13 Novemba,2024
Yaah,kama mwl juma,Dr sir 100 nkKuna haja ya kutumia CPA??
Matukio ya watu kuuliwa si hili tu.Wewe hii habari umeiamini?
🤔SAFI SANA!
Nape Nnauye na yule wa UVCCM Kagera na yule Mkuu wa Wilaya ya Longido pia wasaidie hapoMdude ndio huwa anaapa kuua watu, na juzi Mwanamapinduzi katishia kumuua Samia, labda Polisi waanzie hapo
Wako kwenye usalama wa chakulaUsalama wa Taifa imeshindikana kabisa kudhibiti haya matukio?
Wakati ndio inayoyaendeshaUsalama wa Taifa imeshindikana kabisa kudhibiti haya matukio?