CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

mnapokeaje kwa mshituko sasa, Kifo si kifo tu mambo mengine yaendelee
 
Mdude ndio huwa anaapa kuua watu, na juzi Mwanamapinduzi katishia kumuua Samia, labda Polisi waanzie hapo
 
Nimekumbuka hizi kauli ambazo hazijawahi kukanwa kwa vitendo ...."ni drama", ....kifo ni kifo tu'"
 
Kama mlivyokuwa mmepokea taarifa ya Kifo KIBAO WA CHADEMA 🤔🤔
 
Bado "ABDU"🤣😀😀

baada ya hapo ndio matukio haya yatakaoma, siku royal/Nobal family members wakiguswa
 
Si dalili njema kwa Taifa, kama alivyouwawa mzee Kibao
 
Samia alisema kifo ni kifo tu so kwangu Mimi I don't care afe Samia, Afe Majaliwa , mwinyi au mpango sawa the maana kifo ni kifo tu

Hakuna Jambo jipya hapa mjini Kama alikufa Nyerere wewe Nani usife kufeni ikiwezekana mzime kwa pamoja wote!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…