CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

Usipoziba ufa, utajenga ukuta.

Kuna mafisadi huko walioanzisha haya mambo kama propaganda chafu kipindi cha Magufuli, wenyewe watakuwa wanashangaa ‘narrative’ waliyoanzisha kumchafua mwenzao, sasa imegeuka mambo ya kweli.

Samia mwenyewe, mawaziri wake bungeni kila saa hatutaki kurudi kule tulikotoka na majizi anayoyalea yamechangia ku-promote hiyo nadharia.

Wamefungua chupa ya jini, katoka: kumdhihiti hawawezi.

Ujinga una madhara
 
Ingekuwa aliyeuawawa ni mpinzani, basi kuna wendawazimu wangekimbilia moja kwa moja kumhusisha marehemu na wivu wa mapenzi, kuchukuliana waume, nk!! Na huku wakiwa hawana uthibitisho wowote ule.

Ila kwa upande wangu nitafarijika sana kuona wahusika halisi wakitiwa mikononi mwa vyombo vya dola!
Na ikiwezekana waanze kwanza kuwatia nguvuni wale watekaji na wauaji wa yule kiongozi wa Chadema (Mzee Kibao) kabla ya wauaji wa huyu mama.
 
Mdude ndio huwa anaapa kuua watu, na juzi Mwanamapinduzi katishia kumuua Samia, labda Polisi waanzie hapo
Nape Nnauye na yule wa UVCCM Kagera na yule Mkuu wa Wilaya ya Longido pia wasaidie hapo
 
Usalama wa Taifa imeshindikana kabisa kudhibiti haya matukio?
Wako kwenye usalama wa chakula

 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…