Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Dhahiri kabisa kuwa nyinyi mna roho mbaya sana. Kumbe mlikuwa mkifurahia mateso kwa watu wengine mkijua kabisa.Sisi mataga sasa tumedhihirika kwamba ni zumbukuku
Juzi nime delete post mbili...tumekuwa watu wakudelete posts zetu kuepusha fedhea
Ila anayo hoja mkuu, hebu soma vzr na kutafakari usimua attack Beatrice personalBeatrice kamugisha analalamika amekosa msimamo!
Bwashee hapo Ufipa hamjambo?
🤣🤣🤣🤣🤣Juzi nime delete post mbili...
Hii inaonyesha hamna msimamo ninyi kama ninyi ila mnasubiri serikali imamue ndo muunge tela. Ni sawa na ile katuni ya gado iliyoonyesha kuwa, oli uwe mwana ccm kamili lazima uutoe ubongo wako na kuanza kutumia ubongo wa mwenyekiti wa chama.Juzi nime delete post mbili...
🤣🤣Bwashee hapo Ufipa hamjambo?
Mataga mnaburuzwa mnooo 😂Bwashee hapo Ufipa hamjambo?