CCM tumepoteana; tunasapoti Jambo dakika moja viongozi wanatugeuka!

CCM tumepoteana; tunasapoti Jambo dakika moja viongozi wanatugeuka!

CCM Makini na yenye Uweledi wote pia iliyokuwa inajitambua ilikuwa ni ile ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya Mzee Mwinyi na ikamalizikia kwa Hayati Mkapa.

CCM mbovu mbovu ilianzia katika Awamu ya Mstaafu Kikwete iliyokuwa na Makundi, Uswahili mwingi na ya Kimtandao zaidi kwa Wabadhirifu.

CCM ya hovyo hovyo kabisa ilianzia mwaka 2016 hadi tarehe 17 Machi, 2021 ambayo ilikuwa imejaa Ukatili, Unafiki, Utukufu, Majungu, Makundi ya Ukanda na Ukabila.

CCM yenye Unafuu kidogo kama ambavyo naiona inaweza kuwa ya sasa ( chini ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan ) kwani Kwanza ni Mama halafu isitoshe anajitambua na anapata Msaada mzuri wa Wazee Wakongwe wanaozijua vyema CCM tatu za Nyerere, Mwinyi na Mkapa.

Ni kwamba tu Vyama vya Upinzani nchini Tanzania ama Vimeshalegezwa au havijui Kujipanga ila kama kulikuwa na wakati wa Wao ( Wapinzani ) Kuamka na Kujijengea Uimara na kuwa Tishio kwa Chama Tawala CCM ulikuwa ni huu ambapo huko CCM kumeshaonyesha kuna Mgawanyiko mkubwa sana japo hautangazwi.

Yote haya alaumiwe tu aliyelala Chato.
 
CCM tuna miiko/tamaduni na moja wapo ni kuunga mkono juhudi na fikra za mwenyekiti.

Tuna miiko/tamaduni nyingine nzuri kwa chama na Taifa, ila miiko/tamaduni ya kutokutoa mawazo binafsi kwa kuogopa kuitwa wasasiliti au wapinga maendeleo, inabidi tuitafakari upya.
 
Vizuri sana kama mmeanza kujitambua.
 
Bwashee hapo Ufipa hamjambo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatujambo tupo makini hatuyumbishwi tumesimama imara tupo na tutaendelea kuwepo daima dumu.

Ukitaka tufe utakufa wewe ndio utaratibu ulivyo nafikiri umeona mifano hai huko nyuma na pia umepata kuona mfano mkuu hivi karibuni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatujambo tupo makini hatuyumbishwi tumesimama imara tupo na tutaendelea kuwepo daima dumu.

Ukitaka tufe utakufa wewe ndio utaratibu ulivyo nafikiri umeona mifano hai huko nyuma na pia umepata kuona mfano mkuu hivi karibuni
Hahahaaaa! Nashukuru kama bado mnadunda bwashee!
 
CCM tuijuayo ilikuja kuvurugwa na hao Wachunga Ng'ombe
 
Team mataga au Lumumba buku 7 mmekuwa sio critical katika kufanya analysis ya vitu kiundani kujui mbivu au mbichi wengi wenu mnaongozwa na Ushabiki wa chama na kusaka teuzi mli mpate ulaji na sio kuwatumikia wananchi.

Toka ripoti ya CAG kutoka mmepoteana hamjui hata mshike wapi aibu yenu na mmekuwa hopeless kabisa kwa kuwa bendera fuata upepo kwa kila jambo.
 
Mwigulu Madela hanaga upeo sahihi wa kufikiri, na akili alizonazo anazitumia vibaya yani kama vile tumbo ndio lina control akili zake badala ya brain. Na ndipo nikaonaga Phd holder wengine zitenguliwe kama vipi maana ni upuuzi mtupu mtu kama yule kuwa Phd holder aibu yaani
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mmemsikia mtu anaitwa balozi Mzee wetu Dr.Wilbrod Slaa kwamba serikali inahitaji pesa za kujenga nchi hivyo kupanda kwa Bei ya vifurushi ni njia mojawapo ya kuongeza mapato ya serikali.
Haijalishi mwananchi anaumia au la kwake serikali ipate yeye alipwe mshahara mzuri na marupurupu imetosh
 
CCM Makini na yenye Uweledi wote pia iliyokuwa inajitambua ilikuwa ni ile ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya Mzee Mwinyi na ikamalizikia kwa Hayati Mkapa.

CCM mbovu mbovu ilianzia katika Awamu ya Mstaafu Kikwete iliyokuwa na Makundi, Uswahili mwingi na ya Kimtandao zaidi kwa Wabadhirifu.

CCM ya hovyo hovyo kabisa ilianzia mwaka 2016 hadi tarehe 17 Machi, 2021 ambayo ilikuwa imejaa Ukatili, Unafiki, Utukufu, Majungu, Makundi ya Ukanda na Ukabila.

CCM yenye Unafuu kidogo kama ambavyo naiona inaweza kuwa ya sasa ( chini ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan ) kwani Kwanza ni Mama halafu isitoshe anajitambua na anapata Msaada mzuri wa Wazee Wakongwe wanaozijua vyema CCM tatu za Nyerere, Mwinyi na Mkapa.

Ni kwamba tu Vyama vya Upinzani nchini Tanzania ama Vimeshalegezwa au havijui Kujipanga ila kama kulikuwa na wakati wa Wao ( Wapinzani ) Kuamka na Kujijengea Uimara na kuwa Tishio kwa Chama Tawala CCM ulikuwa ni huu ambapo huko CCM kumeshaonyesha kuna Mgawanyiko mkubwa sana japo hautangazwi.

Yote haya alaumiwe tu aliyelala Chato.
Sasa wewe All-Rounder unataka tujadili nini tena wakati umemaliza yote kwenye comment moja? Funga.
 
Daktari Slaa mzee wa mihogo ana hali gani huko?
Huyu ifikapo jumanne atakuwa kastaafishwa.Umri umemtupa sasa.

Warudi Tanzania na Josephina wake,aje kuona raha ya kupora mke wa mtu.
 
Ona kama huyu sasa
Screenshot_20210402-233458_Twitter.jpg
 
☺😊kajitu kako viunga vya ufipa Street af kanaandika "ccm tumepoteana".
 
Hii inaonyesha hamna msimamo ninyi kama ninyi ila mnasubiri serikali imamue ndo muunge tela. Ni sawa na ile katuni ya gado iliyoonyesha kuwa, oli uwe mwana ccm kamili lazima uutoe ubongo wako na kuanza kutumia ubongo wa mwenyekiti wa chama.

Jifunzeni kukisimamia kile mnachokiamini.

CCM OYEEE
Tuna watoto. Wanahitaji kwenda chooni. Na kulima hatuwezi mkuu!
 
Unajipa tabu za bure tu, ushasahau kwamba ninyi CCM na suala la kua na UPEO, MAARIFA, AKILI za Kuvukia barabara, HEKIMA na BUSARA ni sawa na kukuta box la CONDOM kwenye nyumba ya mapadre.
 
Back
Top Bottom