MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Daktari Slaa mzee wa mihogo ana hali gani huko?Bwashee hapo Ufipa hamjambo?
Bwashee jana hujaonekana au ndio mgomo wa bando!Mataga mnaburuzwa mnooo 😂
Yule padre anakaribia kustaafu atabadilishana na Dotto!Daktari Slaa mzee wa mihogo ana hali gani huko?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwashee hapo Ufipa hamjambo?
Hahahaaaa! Nashukuru kama bado mnadunda bwashee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatujambo tupo makini hatuyumbishwi tumesimama imara tupo na tutaendelea kuwepo daima dumu.
Ukitaka tufe utakufa wewe ndio utaratibu ulivyo nafikiri umeona mifano hai huko nyuma na pia umepata kuona mfano mkuu hivi karibuni
Mwigulu Madela hanaga upeo sahihi wa kufikiri, na akili alizonazo anazitumia vibaya yani kama vile tumbo ndio lina control akili zake badala ya brain. Na ndipo nikaonaga Phd holder wengine zitenguliwe kama vipi maana ni upuuzi mtupu mtu kama yule kuwa Phd holder aibu yaaniMwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!
Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria. Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa...www.jamiiforums.com
Sasa wewe All-Rounder unataka tujadili nini tena wakati umemaliza yote kwenye comment moja? Funga.CCM Makini na yenye Uweledi wote pia iliyokuwa inajitambua ilikuwa ni ile ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya Mzee Mwinyi na ikamalizikia kwa Hayati Mkapa.
CCM mbovu mbovu ilianzia katika Awamu ya Mstaafu Kikwete iliyokuwa na Makundi, Uswahili mwingi na ya Kimtandao zaidi kwa Wabadhirifu.
CCM ya hovyo hovyo kabisa ilianzia mwaka 2016 hadi tarehe 17 Machi, 2021 ambayo ilikuwa imejaa Ukatili, Unafiki, Utukufu, Majungu, Makundi ya Ukanda na Ukabila.
CCM yenye Unafuu kidogo kama ambavyo naiona inaweza kuwa ya sasa ( chini ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan ) kwani Kwanza ni Mama halafu isitoshe anajitambua na anapata Msaada mzuri wa Wazee Wakongwe wanaozijua vyema CCM tatu za Nyerere, Mwinyi na Mkapa.
Ni kwamba tu Vyama vya Upinzani nchini Tanzania ama Vimeshalegezwa au havijui Kujipanga ila kama kulikuwa na wakati wa Wao ( Wapinzani ) Kuamka na Kujijengea Uimara na kuwa Tishio kwa Chama Tawala CCM ulikuwa ni huu ambapo huko CCM kumeshaonyesha kuna Mgawanyiko mkubwa sana japo hautangazwi.
Yote haya alaumiwe tu aliyelala Chato.
Huyu ifikapo jumanne atakuwa kastaafishwa.Umri umemtupa sasa.Daktari Slaa mzee wa mihogo ana hali gani huko?
Tuna watoto. Wanahitaji kwenda chooni. Na kulima hatuwezi mkuu!Hii inaonyesha hamna msimamo ninyi kama ninyi ila mnasubiri serikali imamue ndo muunge tela. Ni sawa na ile katuni ya gado iliyoonyesha kuwa, oli uwe mwana ccm kamili lazima uutoe ubongo wako na kuanza kutumia ubongo wa mwenyekiti wa chama.
Jifunzeni kukisimamia kile mnachokiamini.
CCM OYEEE