Pole sana ndugu Mahanju,Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu...
Bora helicopter kuliko wasaniiMitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona Kama kashakuwa Raisi na CCM imechemka.....
Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Sitashangaa hapo ulipo umemaliza chuo na kazi ya kufanya huna
Unaomba pesa kwa shemeji yako elfu tatu asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake halafu unapiga kelele hapa JF
Vijana wengi wa siku hizi mmemaliza vyuo vikuu lakini uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana
Hakuna tofauti ya wewe na mtoto wangu wa chekechea mwenye uwezo wa kuniuliza Baba mbona leo umechelewa kurudi nyumbani au mbona leo hatuendi mazoezi?
Wewe kichwa chako ni zero brain,huwezi kufikiri wala kuhoji
Unasubiria pesa ya shemeji,Fanya kazi mkuu
Halafu asivyojielewa anasema eti watu wanaenda kushangaa helcopter tu. Anasahau mwanzoni walisema watu wanaenda kumshangaa Lissu maana ni msukule.Huyu sasa ndo polepole mwenyew sasa, utopolo huu sijui umeutoa wapi unasema watu wanaenda kushangaa helicopter kana kwamba lissu kaanza zamani sana kutumia huo usafiri kumbe ni jana tuuu.. Lakin kiwewe kimekushika hadi unafikiri kwa tumbo badara ya kichwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe haya mazuzu umeyashtukia enh?!Sitashangaa hapo ulipo umemaliza chuo na kazi ya kufanya huna
Unaomba pesa kwa shemeji yako elfu tatu asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake halafu unapiga kelele hapa JF
Vijana wengi wa siku hizi mmemaliza vyuo vikuu lakini uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana
Hakuna tofauti ya wewe na mtoto wangu wa chekechea mwenye uwezo wa kuniuliza Baba mbona leo umechelewa kurudi nyumbani au mbona leo hatuendi mazoezi?
Wewe kichwa chako ni zero brain,huwezi kufikiri wala kuhoji
Unasubiria pesa ya shemeji,Fanya kazi mkuu
Ni kweli kama gari la mkaa.. siku 2 jukwaani, siku 8 gereji, yaani jiwe kachemka vibaya!Tangu lini gari la mkaa likaingia kwenye mashindano ya magari?
Vipi utabiri wako kwa DAB umeishia wapi? Cheo ni dhamana, kuna siku tu hata kama si leo wala kesho ila ipo siku isiyo na jina..... Na kabla hujaishusha pua ardhini nafsi na roho yako vitakupatia jibuKura ni kwenye box sio kakikundi cha watu wachache hapa JF ambao wanamhemko na mropokaji wao.
October 28th jiandaeni kusikia USHINDI wa kishindo kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wewe bado hujui chochote. Kaaeni na mitambo yenu CHADEMA tunajiandaa kulinda kura by hooks and crooks.Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona Kama kashakuwa Raisi na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Jibu la nini tena maana October 28th mimi najua ni Magufuli 5 Tenaaa.Vipi utabiri wako kwa DAB umeishia wapi? Cheo ni dhamana, kuna siku tu hata kama si leo wala kesho ila ipo siku isiyo na jina..... Na kabla hujaishusha pua ardhini nafsi na roho yako vitakupatia jibu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mie nadhani wewe ndio bado una akili za kizamani kudhani mbinu zile za kupora na kuiba kura kwamba zinaweza kuzaa matunda nyakati hizi!Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona Kama kashakuwa Raisi na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Kura huwa hazitafutwi majukwaaniNdugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu.
Huyu ni ambaye ni sawa na Faru aliyejeruhiwa yupo Energetic, anaongea mambo magumu yanayogusa ndani, anaijua sheria sana anajiamini. Naomba sana kuelekea mwishoni tujitathmin.
Tusijipe moyo kwakua sisi ni Chama dola kwa maana kwamba tuna uwezo wa kufanya lolote tusalie madarakani, tufahamu kwamba huyu bwana katika hotuba zake kuna zaidi ya dakika 30 za kuielimisha umma namna ya kuzijua haki zao wakati wa uchaguzi. Hawa watu wanaojitokeza kumwangalia ni wengi na Ikumbukwe kwamba uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa watu walijitokeza kujiandikisha tena wengine wanalazimishwa na MaDC mwaka jana na wengi tunakumbuka vizuri. Kwahiyo waliojiandikisha ni wengi sana na serikali ilihamasisha hilo mwaka jana.
Tusijivunie wanachama wetu zaidi ya milioni 11 tulionao, wengi ni majeruhi wa kura za maoni wako nasi kwenye nyuso tu lakini moyoni hawapo na tunawaona. Huu umati ukimpiga kura nyingi huyu bwana hatutaweza kulazimisha kumzuia tutaumiza watu. Kama kuna makosa ya kimkakati naona tunataka kuchelewa Muda unayoyoma chama ndio halitajwi sana siyo mitandaoni wala mitaani zaidi utamsikia Tundu Lissu tu. Ukisikia CCM kinatajwa labda siku hiyo kuna kampeni mahali flani.
Mara nyingi CCM tumekua wagumu hatushsuriani na tunaiona tunajua sana hasa katibu wetu wa Itikadi na wenezi , tunaenda kuumia na mimi naenda kukata tamaa walai.