OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tundu Lissu yupo serious, Shekhe Ponda yupo serious, Askofu Mwamakula yupo serious. Hawa watu wanatumika na Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi wanyama awahitaki ccm sembuse watzMitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Lissu Rais wa mitandao ka alikiba...amuulize Mange KimambiiMitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Jamaa anasema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kutangaza kwamba kashindwa! Ila sasa siioni haki ikitamalaki ktk uchaguzi huu, kwa hiyo ni mwendo wa kujiandaa kuingia barabarani mapema!wanategemea vyombo vya dola. umma ukiwakataa kwenye sanduku la kura watataka kulazimisha. wakifanya hivyo wataua watu wasiokuwa na hatia, wakiisha kuua kinachofuata ni safari ya The Hague.
Wanategemea wale magaidi wanaovaa nguo za mapolisiNdugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu.
Huyu ni ambaye ni sawa na Faru aliyejeruhiwa yupo Energetic, anaongea mambo magumu yanayogusa ndani, anaijua sheria sana anajiamini. Naomba sana kuelekea mwishoni tujitathmini.
Tusijipe moyo kwakuwa sisi ni Chama dola kwa maana kwamba tuna uwezo wa kufanya lolote tusalie madarakani, tufahamu kwamba huyu bwana katika hotuba zake kuna zaidi ya dakika 30 za kuelimisha umma namna ya kuzijua haki zao wakati wa uchaguzi. Hawa watu wanaojitokeza kumwangalia ni wengi na Ikumbukwe kwamba uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa watu walijitokeza kujiandikisha tena wengine wanalazimishwa na MaDC mwaka jana na wengi tunakumbuka vizuri. Kwahiyo waliojiandikisha ni wengi sana na serikali ilihamasisha hilo mwaka jana.
Tusijivunie wanachama wetu zaidi ya milioni 11 tulionao, wengi ni majeruhi wa kura za maoni wako nasi kwenye nyuso tu lakini moyoni hawapo na tunawaona. Huu umati ukimpiga kura nyingi huyu bwana hatutaweza kulazimisha kumzuia tutaumiza watu. Kama kuna makosa ya kimkakati naona tunataka kuchelewa Muda unayoyoma chama ndio halitajwi sana siyo mitandaoni wala mitaani zaidi utamsikia Tundu Lissu tu. Ukisikia CCM kinatajwa labda siku hiyo kuna kampeni mahali flani.
Mara nyingi CCM tumekua wagumu hatushauriani na tunajiona tunajua sana hasa katibu wetu wa Itikadi na wenezi , tunaenda kuumia na mimi naenda kukata tamaa walai.
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Hakuna namna aisee JPM anaenda kushinda kwa KISHINDO.
Kwani ni dhambi?Mbona mnaombea kura mitandaoni sasa....si msubiri hilo box?
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
We ulisikia wapi mtu akiwa mgonjwa wa UKIMWI basi yeye ni kifo tuu? Unaishi Dunia ya wapi wewe? Mtu anaweza kuwa na HIV/AIDS na bado akadunda kwa muda mrefu.Inavoonekana ww unaweza hata kukaa na mgonjwa wa ukimwi kwa kumpa tamaa kama hatokufa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mitano mmeshindwa ndo mitano mtawezaKwani ni dhambi?
Tunaomba kura yako kwa MAENDELEO ya Tanzania please vote for Magufuli.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Na bila shaka kitamchagua Magufuli.Kikundi hicho ndo chawapiga kuraa tar28, au mnahisi vinavyopostiwa huku au mtandaoni kama mnavyosema ni robot zinatumika
Mmeanza kupunguza tena... mlituambia ccm itakaa milele madarakani... imeshapungua tena kua 50!Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Mitandao inawadanganya sana na mnaamini. Ukiingia Jamii Forums ukakuta threads za kumpa moyo Lissu unaona kama kashakuwa Rais na CCM imechemka.
Lissu hawezi kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 bali ni kamwe (NEVER). CCM sio wajinga wapo jikoni wanaset mitambo wakati nyie mmekazana na Mambo yasiyo na impact mpo bize kushangilia helicopter aliyokodi Lissu. Kwa akili hizi za kujipa moyo CCM itaondoka madarakani miaka 50 ijayo.
Mbuzi hao ni wanaharakatiHadi wanyama awahitaki ccm sembuse watz
Ni unabii ya kwamba anga limekukataa
Huku mtaani hali ni ngumu sana,biashara haziendi,mzunguko wa pesa ni mgumu sana, ukosefu wa ajira kwa vijana unazidi kuongezeka kila leo.Viwanda mlivyojinasibu navyo viko wapi?, Mbona saruji inazidi kuongezeka bei kila kukicha?,Soko la mazao kwanini nipangiwe na nyie,wakati wa kulima mlinisaidia?.Halafu unaendelea kutupigia kelele hapa.Hakuna namna aisee JPM anaenda kushinda kwa KISHINDO.
October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA