Uchaguzi 2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

Kama mitandao inadanganya,na kwenye mainstream media hatangazwi,hao wanaojaa kwenye mikutano yake habari zake wanazitoa wapi?

watu wanajaa kwenye minada ya vitu vibovu sembusebkwa lissu,kama huamini chukua speaker anza kupiga kelel watu wakusanyike uone kama hutapata ng'ombe hata watatu.
 
Hujaona teuzi nyingi tu za jiwe zinaenda na ngono?
 
Hawa achana nao ni mtaji kwetu,wanampepea mfalme katikaiya uwanja wa vita
 
Kwisha habari yenu mnaenda kuwa Kama tlp ya mrema, waambie mapolisi na ma tiss wakusaidieni maana waovndo wanufaika,wazee wa kazi wamekugomeeni wao waliapa kulinda nchi na sio kulinda mtu watasimama na wananchi awako tayari nchi iangamie sababu ya matumbo ya wachache. Kwishaa kabisa, tulikuonyeni wekezeni katika watu mkawekeza kwenye dola hata mtumie euro au paund anga limekukataeni mnapambana na wakati.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Hunaga neno lingne au point ili tusio nachama tuamn natuwape kura?.Sasa nazidi kuamn kuwa waliopo CCM ni mambulura,wapumbavu na wakosa busala...we Kila bandiko neno ilo ilo wakati umenunuliwa bando ili unadi sera tusio na upande tuamue.....Mabwege Kama nyie ndio mnafanya Twaweza waseme 75% yawana CCM hawana uelewa
 
Kura ni kwenye box sio kakikundi cha watu wachache hapa JF ambao wanamhemko na mropokaji wao.

October 28th jiandaeni kusikia USHINDI wa kishindo kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mbona mnaombea kura mitandaoni sasa....si msubiri hilo box?
 
Polepole na Bashiru mioyoni mwao ni wapinzani ingawa Usomi hujidai ni CCM, wao wamejipanga kuchukua chao mapema na tayari wamepiga pesa ndefu kwenye bajeti ya kudhoofisha chadema na kuua upinzani, wapo kibiashara zaidi wanajua CCM ikitolewa madarakani wataihama CCM na kurejea upinzani, CCM inazidi kujiharibia zaidi pale inapotumia Polisiccm NECCCM kujaribu kuwahujumu chadema na kibaya kuliko vyote ni huu ushetani wa neno kupita bila kupingwa wakati wamepingwa lakini NECCCM Tumeccm imepora haki za wagombea wa upinzani
 
Ni kweli kama gari la mkaa.. siku 2 jukwaani, siku 8 gereji, yaani jiwe kachemka vibaya!
Alidanganywa na akina cyprian Musiba kuwa anapendwa hakujua kuwa unyanyasaji uonevu uovu wake wa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani umemjengea chuki kubwa toka kwa wananchi
 
Wanufaika wa udhalimu wa CCM akina le mutuz cyprian Musiba sasa wanapiga pesa kupitia mradi wa kuleta waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali na kuwa madalali wao kwa wanaccm.
 
watu wanajaa kwenye minada ya vitu vibovu sembusebkwa lissu,kama huamini chukua speaker anza kupiga kelel watu wakusanyike uone kama hutapata ng'ombe hata watatu.
Mbona kwa CCM hawajikusanyi mpaka wamuone Diamond na wengine wasombwe na mafuso kwenda kurundikwa huko?
 
Kura ni kwenye box sio kakikundi cha watu wachache hapa JF ambao wanamhemko na mropokaji wao.

October 28th jiandaeni kusikia USHINDI wa kishindo kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Inavoonekana ww unaweza hata kukaa na mgonjwa wa ukimwi kwa kumpa tamaa kama hatokufa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu wa kuumia katika hili tutashina na hakuna mtu aliye tushawishi kushindwaaa ni lazimaaa tushindeee tena kawa kishindooooo
Una miaka 25 upo hapa unaongea ongea ujinga,baba yako kuwa dereva wa halmashauri ya wilaya unajikuta na wewe mwamba kumbe njaa tu,ccm kama inajiamini itashinda kwa kishindo mbona mnaweweseka kiasi hiki?mnatuma msg za kuomba kuchaguliwa kwa watu ambao hata hatuna vyama mbona wapinzani hajanitumia kama ilivyofanya ccm?

Na sijui hata details zangu nani aliwapa,nchi nzima mnatangazwa nyie mabango mmetundika nyie ila hamjiamini bado technically hizi ni dalili za kukata tamaa
 
Wanufaika wa udhalimu wa CCM akina le mutuz cyprian Musiba sasa wanapiga pesa kupitia mradi wa kuleta waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali na kuwa madalali wao kwa wanaccm.
Nduma zilishaexpire walikiuka masharti baada ya kulewa.
Walikiuka masharti ya kuacha kuukimbiza mwenge we uoni akili za watz zilivyofunguka na upepo umebadilika jiwe na ukali wake limegeuka kokoto,wazee wa kazi wamemgomea kwamba waliapa kuilinda nchi na sio kulinda mtu,anahaha kwa aliowatukana wanawashwa washwa ndo uje Hali tete,
Ukiangalia anga kinabii limeikataa ccm.
Tegemeo lao lilikuwa ni propaganda za sgr, Ndege, corona hizi zimebuma balaa haziuziki hata vijijini Hadi mabeberu hawaitaki ccm wanatafuna mabango yao,hata wanaccm wenyewe awamtaki jiwe
 

Attachments

  • Screenshot_20201018_163151.jpg
    59 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201018_154306.jpg
    107.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201018_154328.jpg
    92.1 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1601975787508.jpg
    101.3 KB · Views: 1
Mkuu unaelewa maana ya kampeni za kisayansi ? Ndugu Humphrey Polepole ameshaelezea, CCM imeshashinda uchaguzi kabla hata ya kuanza kampeni. Sijui kwa nini hamuelewi, hata wakipiga kwingine CCM ndio inaenda kuunda serikali baada ya uchaguzi huu
 
Labda mwana CCM fake wewe!
 
Tatizo la wanasiasa wengi duniani ni kuwaaminisha wananchi kuwa maadui zao ni maadui pia wa wananchi
 
2810
Tukutane hapa kupongezana na kupeana pole
Maendeleo hayana vyama na Tanzania ni yetu sote
 
Duh!!!,shida sana,kuna watu wengine ndani ya ccm wanamsifia hadi naona kinyaa,kwasababu yule ni binadamu siyo Mungu, lkn utakuta mtu mzima kila akitaka kutamka jambo Fulani anaanza tunamshukuru sana mheshimiwa....,Hatukatai kumshukuru na kumpongeza mtu aliyefanya vizuri ktk majukumu yake km ni kweli, lkn isiwe too much,maana tutakoelekea sasa ni Kumkufuru Mungu.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…