Uchaguzi 2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

Tangu lini gari la mkaa likaingia kwenye mashindano ya magari?
Linaweza pale magari yote yatakuwa ya mkaa! Nimekuelewa pia, ukimaanisha kwenye mambo ya formula 1.
 
Waswahili wanasema"Nyani haoni kundule".

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ambalo CCM hawataki kuliona ni hili la kuruhusu Polisi na NEC kuonea wagombea na Washabiki wa Vyama vya Upinzani. Ukichukua hali hiyo ukichanganya na risasi za TL unajikuta Mwana CCM unapatwa na hasira hata ulilokuwa nalo moyoni linalazimika kuondoka kwa kutovumilia madhira wanayopata Watanzania wenzetu eti kwasababu tu wanashabikia upinzani. Huu ni ujinga mwingine ambao kama Viongozi wa CCM hawatauona na kuuondoa ujinga huu, basi tutegemee Wanachama wengi zaidi wenye hofu ya MUNGU kuikacha CCM na kujiunga na hawa wanaonadi HAKI, UHURU na MAENDELEO YA WATU.
 
Jibu la nini tena maana October 28th mimi najua ni Magufuli 5 Tenaaa.

Tujitokeze October 28th tukampe kura za ndio JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Vipi kule utokako bukoba watampa kura? Maana aliwachana Sana kipindi Cha tetemeko! Ukiweza kuwashawishi watu wa kwenu kumchafua magu Basi nami nitayasadiki maneno yako na kinyume chake jiandae kisaikolojia kuongozwa na cdm!
 
Jana Lissu alikuwa anaongea ,alisema polisi lindeni raia mliapa kulinda raia ,kupiga raia na kufanya vitendo vinavyovunja sheria mtajutia ,list imeshafika the Hague na kuweni makini kuongezwa humo
 
Mahakamaccm Polisiccm vyombo vya kulinda usalama na vyombo vya haki kugeuka kuwa chombo binafsi cha CCM ndiyo kero kubwa zaidi Nchini Tanzania,kibaya zaidi ni huu mfumo haramu wa Neno kapita bila kupingwa Yaani NECCCM Tumeccm wanawachagulia wananchi mbunge asiye chaguo lao kwa nguvu za kishetani kabsa, wabunge wa kupita bila kupingwa si wabunge chaguo la wapiga kura iweje waongoze jimbo pasipo ridhaa ya wananchi wa eneo husika? Huu ndiyo ushetani mkubwa kupita ushetani wote Duniani.
 
umekula kiporo
 
Jana Lissu alikuwa anaongea ,alisema polisi lindeni raia mliapa kulinda raia ,kupiga raia na kufanya vitendo vinavyovunja sheria mtajutia ,list imeshafika the Hague na kuweni makini kuongezwa humo
Polisiccm wote hasa maRPC OCD wote walioshiriki vitendo haramu vya kuwapiga kuwanyanyasa kuwakamata hovyo hovyo wapinzani kipindi hiki cha kampeni mara baada ya uchaguzi mkuu watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao
 
Polisiccm wote hasa maRPC OCD wote walioshiriki vitendo haramu vya kuwapiga kuwanyanyasa kuwakamata hovyo hovyo wapinzani kipindi hiki cha kampeni mara baada ya uchaguzi mkuu watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao
Wanajifariji kwamba the Hague haihaingaiki na vitu vidogo lakini wanasahau kwamba hakuna mgombea mwanasheria mwenye upeo mpana na connection ya wanasheria kama lissu ,hata kwenye kampeni nec na polisi wameshindwa kuonea maana huwezi kuleta sheria na kanuni fake ,watajifariji lakini ipo siku itakula kwao
 
Rudi kundini mkuu!!
 
wanategemea vyombo vya dola. umma ukiwakataa kwenye sanduku la kura watataka kulazimisha. wakifanya hivyo wataua watu wasiokuwa na hatia, wakiisha kuua kinachofuata ni safari ya The Hague.
 
Hata mikutano nafigisu huvioni chukua macho yatoe utosini yaweke mahala pake usoni
 
Nikukumbushe tu hawa waliopo mtandaoni ndo wapiga kura.
 
Kura ni kwenye box sio kakikundi cha watu wachache hapa JF ambao wana mihemko na mropokaji wao.

October 28th jiandaeni kusikia USHINDI wa kishindo kwa JPM

JPM anatosha
CCM kwa maendeleo ya Tanzania.
Kikundi hicho ndo chawapiga kuraa tar28, au mnahisi vinavyopostiwa huku au mtandaoni kama mnavyosema ni robot zinatumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…