CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
 
Ccm ina wenyewe bhana.... wengine wapangaji tu.
 
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Slow slow muondoe kwenye list, ndo engineer wa siasa chafu. Utekaji, uuwaji, kudhulum uchaguzi na machafu yote yanayofanywa.

Sema tu kaongoka, aunge juhudi za kutaka utawala wa sheria. #NRNE
 
GWajima
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
10. Tuendelee
 
8. Anthony Mta
Sijui ilikuaje Antony Mtaka akawa CCM
 
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.

10 .ANDREW NYERERE
11. . MADARAKA NYERERE
12. KASSIM MAJALIWA
13 . AYOUB
14. ASHA ROSE MIGIRO
15. MBOWE
 
'Tragedy' ni baadhi yenu kuwa ni wa "msimu"; kama hao akina Tiba/Popole.
Wengine kama akina Makongoro, hata huwezi kuona alama mahala popote inayoweza kukuonyesha walipo.

Wanaojulikana, bila ya wasi, ni hawa wazee wawili; na angalao unaweza kumtaja Luhaga; maana kishajipambanua bila ya kificho.
Mtaka, Oooh, Mtaka, ningependa sana kumwona kwenye orodha hiyo, lakini ni kipi hasa kinachombainisha? Kuna wengi ndani ya CCM wa aina yake; lakini ndiyo hivyo tena, tutaanzia wapi kuwatambua?
 
Rais anatakiwa awe chini ya speed governor kiutendaji!!hii katiba ya Umungu mtu inafanya KAZI ya kushughulika nae kuwa ngumu sana !hadi dark arts zitumike ambazo hazina afya Kwa taifa na ni hasara sana baada ya process kuwa ndefu,costfull na Ina cost maisha ya wengi hasa inner circle yote lazima iguswe before the main tagert!Mi sipendi hiyo process ni mbaya sana!katiba mpya ingeokoa sana maisha ya wengi!hasta hizi Teka teka zisingekuwepo kabisa!!

Inaumiza sana!
Mpo wengi naangalia wanaotaka CCM Ila wanachukizwa na upuuzi wafanyika now
 
Back
Top Bottom