CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

Vyema sasa wawe makini na vinyago, kumbe vina uhai, vyaona kila tukio.
 
Ccm inatakiwa ifutike yaani mpotee wote, ninyi ni watu wabaya sana hamkubaliki hata kuzimu. Hivi ninyi yani mlituletea huyu mama ndio atuongoze kweli? Mmetudharau miaka mingi sana washenzi nyinyi, tumewakabidhi kwa Mungu atawaadhibu mwenyewe kwa wakati wake jinga sana nyinyi.
Sema niko upande wako ningeandika utauala wa chuya. point sana umeweka
 
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
9.Mark Mwandosya.
 
Sijui ilikuaje Antony Mtaka akawa CCM
Mama yake alikuwa Mwalimu wa UPE na kupitia huo ualimu akamsomesha Mwembeni Secondary na michezo mara nini mpaka akaukwaa upolisiccm mpaka kawa DC Mvomero mpaka RC Simiyu na sasa Njombe ila huwa hawataki kumpa jukwaa la kuongelea,zingatia alipokuwa RC Dodoma wakaona ni bora akafichwe misituni Njombe.
 
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Mimi nakaa 11 baada ya 9. Juma Awesso 10. Doto Biteko
 
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
9..mimi kina kirefu
 
Mama yake alikuwa Mwalimu wa UPE na kupitia huo ualimu akamsomesha Mwembeni Secondary na michezo mara nini mpaka akaukwaa upolisiccm mpaka kawa DC Mvomero mpaka RC Simiyu na sasa Njombe ila huwa hawataki kumpa jukwaa la kuongelea,zingatia alipokuwa RC Dodoma wakaona ni bora akafichwe misituni Njombe.
Mtaka ni jembe
 
Mkifika 100 ndio tutajua hamna tamaa
Tena hao Mia wawe na msimamo bungeni wakiweka wazi kuwa majizi yafungwe na wala Rushwa wafungwe

Nchi inaendeshwa ki maslahi zaidi na huwezi kuona mmoja anapinga Rushwa na ubadhirifu wazi wazi kabisa kwa sababu wengi wameishakula kwa namna moja au nyingine.

Polepole kasema kiongozi Mkuu akisema sitaki kuona utekaji basi utakomea hapo

Je yupo wa kusema Sitaki hati chafu kutoka kwa CAG? Never in a shit hole countries
 
mwaka mzima bungeni wanaimba mheshimiwa dokta na fomu ni moja - -- miezi hii ndo watake kumpiga chini 😀
 
Nini kinaongelewa eti ila naona wewe kuelewa kusoma bado hiyo '82 au?
'82 form six means 20 yrs kipindi hicho, sahii 2025 maana ake
Bwenge wewe unamjua Mzee lala salama ni Mzee kuliko hiyo nazani anaweza kuwa wa 1954
Bwege wewe hapo , huyo kasema mwaka 1982 alikua form six so huyo itakua alizaliwa kati ya mwaka 1955-1960 maana hata mzee wangu kipindi hicho alikua mwalimu Tyr huko sengerema secondary
 
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Takataka
 
mwaka mzima bungeni wanaimba mheshimiwa dokta na fomu ni moja - -- miezi hii ndo watake kumpiga chini 😀
Ni wanafiki sana hawa, lazima kuna mirija imekatwa.

Yaani kila leo walikuwa wanasema hela za Mama eti leo wanajifanya watetezi Wetu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !

Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )

Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
9. Mama Abdul
 
Back
Top Bottom