britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ccm ina wenyewe bhana.... wengine wapangaji tu.Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
πCcm ina wenyewe bhana.... wengine wapangaji tu.
Mpo wengi naangalia wanaotaka CCM Ila wanachukizwa na upuuzi wafanyika nowTrust me Mimi ni 16 kati ya hao!SEMA ndio vile Sina connection!nipo underground sana! interior,pure African area!!
Kinawaka soon na mbadala ni CHADEMA maana mbowe alikuwa dalali wetu sanaKiwake tuuu... Mkirudisha heshima na hadhi ya mwanzo hata wale tuliowaona wa ajabu tutarejea
Slow slow muondoe kwenye list, ndo engineer wa siasa chafu. Utekaji, uuwaji, kudhulum uchaguzi na machafu yote yanayofanywa.Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
10. TuendeleeUwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Sijui ilikuaje Antony Mtaka akawa CCMUwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mta
ππππ9. Kikwete
Yuko nje sasa bado ataendelea na udalali wakeKinawaka soon na mbadala ni CHADEMA maana mbowe alikuwa dalali wetu sana
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Mpo wengi naangalia wanaotaka CCM Ila wanachukizwa na upuuzi wafanyika now