CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

Mpaka Anthony Mtaka,huyu ni mtoto mdogo sana na kapata hicho kupitia Ridhiwani Kikwete,ni mtiufu sana kwa muhuni JK
 

..Anthony Mtaka ni mwizi wa kura kulingana na madai ya Askofu Mwanamapinduzi.
 
Kumbe ni mada ya vichekesho!

Hao wazee wa watu unawaweka kwenye orodha hiyo wanogeshe vichekesho?

Ngoja nikuulize swali: unaizungumzia CCM iPi hasa; maanake nimesoma humu humu, kuwa kuna "CCM ya wenyewe"?

Naichukulia CCM hiyo kuwa ndiyo inayoendeshwa na Samia/Kikwete na GENGE lao; hii ya kwenu bado ipo kweli; au mmebaki kuwa abiria ndani ya kasha la chama mliloachiwa kulishikilia?
 
Jeneral Twaha Ulimwengu
Prof. Mussa Assad
Prof Issa Shivji
 
britanicca whoever studied PCM, PGM during those ancient days 1967-1989 were very bright and intelligent
1. Pugu High School
2. Minaki High School
3. Kibaha High School (KEC)
4. Tambaza High School
5. Azania High School
6. Shaban Robert High School
7. Kibiti High School
8. Kilosa High School
9. Songea Boys
10. Mkwawa High School
11. Ilboru High School
12. Tosamaganga High School
13. Old Moshi High School
14. Moshi Tecnical
15. Arusha Technical
16. Dar Technical
17. Ifunda Technical
18. Bwiru Boys High School
19. Bwiru Girls High School
20. Nganza High School
21. Nyegezi Seminary
22. Rugambwa Seminary
23. Musoma High School
24. Mazengo High School
25. Mwenge High School (Singida)
26. Shycom High School
27. Weruweru High School
28. Ashira High School
29. Umbwe High School
30. Lyamungo High School
31. Jangwani High School
32. Loleza High School
33. Tabora Boys

Hizo ndio shule zilizotengeneza kizazi chenye akili (Baby Boomers and Gen X)
 
Ongeza Iyunga
 
Exactly
 
Ccm inatakiwa ifutike yaani mpotee wote, ninyi ni watu wabaya sana hamkubaliki hata kuzimu. Hivi ninyi yani mlituletea huyu mama ndio atuongoze kweli? Mmetudharau miaka mingi sana washenzi nyinyi, tumewakabidhi kwa Mungu atawaadhibu mwenyewe kwa wakati wake jinga sana nyinyi.
 
Kiwake tuuu... Mkirudisha heshima na hadhi ya mwanzo hata wale tuliowaona wa ajabu tutarejea
Sure! Nimeficha kadi yangu nilichukua mwaka 2001 pale kata 14 tmk
 
Mungu kisha Mama
Naamini ulikua una maanisha magu.

Hao wengine yamkini kweli wanatuharibia/walituharibia nchi!
Ila kwa magu inahitaji tafakari kidogo kuja na hitimisho la kumuweka kundi la waharibifu wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…