Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Hovyo kabisa kioindi cha Magufuli huyo pole pole alikuwa wapi? Nyie wanasiasa wapumbavu na wajinga sanaUwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Ukiona kelele ujue maslahi yameguswanaam wajanja tumewastukia hawa ni matapeli - waendelee kutwangana tu hivihivi - lakini hawawezi kuwa mashjaa wetu
naam, hi maslahi tu hili linajulikana -- kinachonisikitisha kuna watu wengi wakiwemo wapinzani wanawaona hawa ni mashujaa -- huu ni utapeli ulio waziUkiona kelele ujue maslahi yameguswa
Yaani hawa unadhani wanamjua mama mjamzito anaetoka kijijini kabebwa kwenye baiskeli?
Wao wanaangalia matumbo yao tu na familia zao
9. Askofu GwajimaUwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Wengi hufuata upepo na vigeugeu wasiojua wanataka nini kama nchinaam, hi maslahi tu hili linajulikana -- kinachonisikitisha kuna watu wengi wakiwemo wapinzani wanawaona hawa ni mashujaa -- huu ni utapeli ulio wazi
hatari sanaWengi hufuata upepo na vigeugeu wasiojua wanataka nini kama nchi
Nchi zingine zinaendelea kwa kupiga vita wizi wa Mali za umma.
Ila hawa wala hawajui wanataka nini
Leo jamaa wa V8 Aliekuwa anasema kiyoyozi hakizimwi bila aibu, ndio huyu anatetea watu?
Unaita watu wahuni kumbe wewe ndio muhuni na kuna majitu yanachekelea
UmewasahauUwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
MIMI NDIO Lucas Mwashambwa MWENYEWE, YAANI NASEMA HIVI..... WATANZANIA MNISAMEHE SANA KWA YALE MACHAPISHO YANGU HAPA JamiiForums, NI NJAA TU ZILIZOKUWA ZIKINISUKUMA KUANDIA UTUMBO ULE WENYE MANENO MENGI SANA YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU.Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Mkuu, Ndugu Jenereri Ulimwengu vipi?'Tragedy' ni baadhi yenu kuwa ni wa "msimu"; kama hao akina Tiba/Popole.
Wengine kama akina Makongoro, hata huwezi kuona alama mahala popote inayoweza kukuonyesha walipo.
Wanaojulikana, bila ya wasi, ni hawa wazee wawili; na angalao unaweza kumtaja Luhaga; maana kishajipambanua bila ya kificho.
Mtaka, Oooh, Mtaka, ningependa sana kumwona kwenye orodha hiyo, lakini ni kipi hasa kinachombainisha? Kuna wengi ndani ya CCM wa aina yake; lakini ndiyo hivyo tena, tutaanzia wapi kuwatambua?
Jadili hoja, usijadili watu.Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Sahihi KabisaRais anatakiwa awe chini ya speed governor kiutendaji!!hii katiba ya Umungu mtu inafanya KAZI ya kushughulika nae kuwa ngumu sana !hadi dark arts zitumike ambazo hazina afya Kwa taifa na ni hasara sana baada ya process kuwa ndefu,costfull na Ina cost maisha ya wengi hasa inner circle yote lazima iguswe before the main tagert!Mi sipendi hiyo process ni mbaya sana!katiba mpya ingeokoa sana maisha ya wengi!hasta hizi Teka teka zisingekuwepo kabisa!!
Inaumiza sana!
britanicca whoever studied PCM, PGM during those ancient days 1967-1989 were very bright and intelligent
1. Pugu High School
2. Minaki High School
3. Kibaha High School (KEC)
4. Tambaza High School
5. Azania High School
6. Shaban Robert High School
7. Kibiti High School
8. Kilosa High School
9. Songea Boys
10. Mkwawa High School
11. Ilboru High School
12. Tosamaganga High School
13. Old Moshi High School
14. Moshi Tecnical
15. Arusha Technical
16. Dar Technical
17. Ifunda Technical
18. Bwiru Boys High School
19. Bwiru Girls High School
20. Nganza High School
21. Nyegezi Seminary
22. Rugambwa Seminary
23. Musoma High School
24. Mazengo High School
25. Mwenge High School (Singida)
26. Shycom High School
27. Weruweru High School
28. Ashira High School
29. Umbwe High School
30. Lyamungo High School
31. Jangwani High School
32. Loleza High School
33. Tabora Boys
Hizo ndio shule zilizotengeneza kizazi chenye akili (Baby Boomers and Gen X)
Namba tisa ni Mimi. Kadi yangu ya CCM niliichukua mwaka 1994 Nikiwa nasoma Shule ya Sekondari Mzumbe , kidato cha Sita PCB.Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Duh mkuu nina swali.Kinawaka soon na mbadala ni CHADEMA maana mbowe alikuwa dalali wetu sana
Unanifananisha naye kwa lii hasa; yeye ni Nguli wa uandishi; mimi sina lolote huko mbali ya kutumia lugha tu kama mazoea. Kwenye unguli wangu, naye hana lolote analoweza kulizungumzia kwa ufasaha.Mkuu, Ndugu Jenereri Ulimwengu vipi?
09.KasimuUwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi Britanicca
2. Butiku
3. Jaji warioba
4. Makongoro Nyerere
5. Humphrey Polepole
6. Luhaga Mpina
7. Anna Tibaijuka
8. Anthony Mtaka
9.
Mzumbe High School haipo kbsbritanicca whoever studied PCM, PGM during those ancient days 1967-1989 were very bright and intelligent
1. Pugu High School
2. Minaki High School
3. Kibaha High School (KEC)
4. Tambaza High School
5. Azania High School
6. Shaban Robert High School
7. Kibiti High School
8. Kilosa High School
9. Songea Boys
10. Mkwawa High School
11. Ilboru High School
12. Tosamaganga High School
13. Old Moshi High School
14. Moshi Tecnical
15. Arusha Technical
16. Dar Technical
17. Ifunda Technical
18. Bwiru Boys High School
19. Bwiru Girls High School
20. Nganza High School
21. Nyegezi Seminary
22. Rugambwa Seminary
23. Musoma High School
24. Mazengo High School
25. Mwenge High School (Singida)
26. Shycom High School
27. Weruweru High School
28. Ashira High School
29. Umbwe High School
30. Lyamungo High School
31. Jangwani High School
32. Loleza High School
33. Tabora Boys
Hizo ndio shule zilizotengeneza kizazi chenye akili (Baby Boomers and Gen
Mikeka Yako inachanika Kila siku...watoto wa mjini wamewaweza sana nyinyi bush stars...mmebaki na ramli chonganishi tuKinawaka soon na mbadala ni CHADEMA maana mbowe alikuwa dalali wetu sana