roho za kujilimbikia maliWana Ccm wengi hata hawaelewi wananchi wanalalamikia nini !!. Na history ya Africa inaonekana jambo hilo haliwezi kupatikana kwa amani.
Ccm na serikali zake za Tanganyika & Zanzibar hawako tayari kwa sababu tu ya uchu na ulevi wa madaraka. Hawakubali fair ground hasa katika swala la uchaguzi . Wanataka waingie kwenye uchaguzi wakiwa wamemkumbatia vyombo vya Dola