GE2025 CCM tusipende kubeza kila kitu, Kwani kuna mtu alijua Daudi angeliweza kuliua jitu kama GORIATH?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
2,275
Reaction score
2,383
Kiburi wakati mwingine hakisaidii.2015 CCM iliponea chupuchupu kuangua kwa sababu chadema ilitumia wahuni na wanamitandao kutoka CCM .

angalia hapa :Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa Chadema.[2]. Kadiri ya tume hiyo, Magufuli alipata kura 8,882,935, sawa na asilimia 58.46 na Lowassa ( kiungozi wa wanamtandao aliyehamia chadema) alipata kura 6,072,848, sawa na asilimia 39.97

angalia pia hapa : matokea ya uchaguzi 2010 : Urais CCM 80.2%,CHADEMA :5.8%
Hapa mgombea alikuwa Mh JK ,rais aliyeko madarakani .

anagalia pia hapa .uchaguzi 2005: JK ( CCM ) :80.2%
Mh Mbowe ( chadema ) :5.5 %

kilichotokea 2015 na kusababisha kura za CCM kupungua kwa kazi ya ajabu kinaweza kuotkea 2025 .LUHAGA MPINA tunaweza kumbeza tuakaona ni mtu tu wa kawaida. 2015 hakukuwepo na mgawanyiko na mkanganyiko katika jamii kama tunavyoona kwa sasa kanisa katoliki hasa TEC Kuwa na kinyongo ,makanisa ya gwajima ,na makanisa mengine ambayo yanamuunga mkono gwajima kimya kimya.

leo hii wasukuma aka sukuma gang wakiamua kumfuata mtemi wao luhaga mpina , makanisa(TEC,ufufua na uzima ) yakiamua kwa imani yao na waumini wao ,kwa tume hiyi hiyi tena iliyoboreshwa kuliko ya mwaka 2015 na inaongozwa na binadamu na siyo malaika ,Daudi anaweza kumshinda Goriath.

sijajua CCM tunawaza nini .kwamba chura kiziwi? twaweza kulia na kusaga meno.tutafute maridhiano kwanza kabla ya uchaguzi.

tusiende kwnyenye uchaguzi huku tukiamini kwamba matajiri watatusaidia.Hata 2015 walitusaidia lakini tuliponea chupuchupu.
 
Achana na hadithi za kufikirika na haitakaa itokee ujinga huo hapa duniani
ujinga gani sasa ?

soma mithali 29:1

Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo,Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
 
unamfananisha Lowasa na Mpina? 😅 "bai ze wei" kitakachoitoa madarakani CCM, ni CCM yenyewe...."azawaiz" HAKUNA🤤
 
waache, usiwasanue! anguko liko mlangoni
 
Mwana CCM punguza marangi rangi kwenye Uzi wako, punde utahusishwa na UPINDE.
 
Galibu na singa singa wanatutosha sana kutubeba. Tutashinda kwa 99%
 
waache, usiwasanue! anguko liko mlangoni
hamna chama kingine kwa sasa kinaweza kuwasidia wananchi wa tanzania wakawa wamoja kama siyo CCM. TANGIA uhuru watanzania tumekuwa wamoja kwa sababu ya CCM.sasa tunapoona inaweza kuangua bila sababu ya msingi lazima tupige makelele
 
unamfananisha Lowasa na Mpina? 😅 "bai ze wei" kitakachoitoa madarakani CCM, ni CCM yenyewe...."azawaiz" HAKUNA🤤
ndiyo maana nasema tusipende kupuza mambo.CHADEMA 2015 Kupitia kwa mwanaCCM ilitaka kuiangusha CCM.

CCM ikianguka nchi imeanguka
 
Utafiti wa Twaweza, sisiemu inapendwa vijijini, Wajinga, na...

Mtu mwenye Hekima & busara , na "Akili nyingi sana" hawezi kuwa sisiemu.
 
siyo kweli.wengi tuko ccm na tuna akili kabisaaa
 
Daudi kushindwa sio issue, issue ni kutangazwa mshindi
 
ujinga gani sasa ?

soma mithali 29:1

Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo,Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
Sio watu wote wanasoma au kuamini biblia.Hiyo nikwaajili yako wewe unayeiamini.
 
Kiburi wakati mwingine hakisaidii.2015 CCM iliponea chupuchupu kuangua kwa sababu chadema ilitumia wahuni na wanamitandao kutoka CCM .

angalia hapa :Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa Chadema.[2]. Kadiri ya tume hiyo, Magufuli alipata kura 8,882,935, sawa na asilimia 58.46 na Lowassa ( kiungozi wa wanamtandao aliyehamia chadema) alipata kura 6,072,848, sawa na asilimia 39.97

angalia pia hapa : matokea ya uchaguzi 2010 : Urais CCM 80.2%,CHADEMA :5.8%
Hapa mgombea alikuwa Mh JK ,rais aliyeko madarakani .

anagalia pia hapa .uchaguzi 2005: JK ( CCM ) :80.2%
Mh Mbowe ( chadema ) :5.5 %

kilichotokea 2015 na kusababisha kura za CCM kupungua kwa kazi ya ajabu kinaweza kuotkea 2025 .LUHAGA MPINA tunaweza kumbeza tuakaona ni mtu tu wa kawaida. 2015 hakukuwepo na mgawanyiko na mkanganyiko katika jamii kama tunavyoona kwa sasa kanisa katoliki hasa TEC Kuwa na kinyongo ,makanisa ya gwajima ,na makanisa mengine ambayo yanamuunga mkono gwajima kimya kimya.

leo hii wasukuma aka sukuma gang wakiamua kumfuata mtemi wao luhaga mpina , makanisa(TEC,ufufua na uzima ) yakiamua kwa imani yao na waumini wao ,kwa tume hiyi hiyi tena iliyoboreshwa kuliko ya mwaka 2015 na inaongozwa na binadamu na siyo malaika ,Daudi anaweza kumshinda Goriath.

sijajua CCM tunawaza nini .kwamba chura kiziwi? twaweza kulia na kusaga meno.tutafute maridhiano kwanza kabla ya uchaguzi.

tusiende kwnyenye uchaguzi huku tukiamini kwamba matajiri watatusaidia.Hata 2015 walitusaidia lakini tuliponea chupuchupu.
Unachoongea upo sahihi Kuna wakati nawaza juu maamuzi ya ajabu ya viongozi wangu wa ccm nabaki mdomo wazi,Mungu awape hekima wafanye maamuzi Bora na siyo Bora maamuzi.
 
Back
Top Bottom