Yaani watu siku hizi wamekuwa wajinga sana na mentality zao ni kuona kwamba hakuna linalowezekana na uzuri kwamba sasa hivi upatikanaji wa taarifa ni wa haraka sana na waelevu ni wengi tu. Ni vile humu ndani kuna watu huwa wanalipwa ili kupinga na kukejeli kwa hoja za kijinga zilizojaa makasiriko na upuuzi mwingi.
Mtandao umevamiwa na wajinga wanaojifanya ni makada watiifu wasioona hali halisi ya mambo.
Mbona ukweli wa mambo unaonekana, CCM ndani ya wilaya moja afanye mikutano mitatu kwa siku bila kubeba watu, kulazimisha watumishi wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ni aibu tupu. Lakini humu kuna ujinga wa machawa kuliko hata Facebook ingawa watu wanatumia majina yao halisi kwa asilimia kubwa