CCM Vipande vipande, waliotuhumiwa kuuza madawa ya kulevya awamu ya 5 wapanga kujiuzulu

Ukweli ni kwamba huwezi kutuhumiwa kama hufanyi hiyo biashara sema tu ushahidi ulikuwa haujapatikana
 
Utasubiri sana, CCM hii nani wa kuacha "ulaji"? Wapigaji tangu lini wakajali hadhi na heshima zao mbele ya mali!?
 
Watajuana ccm wana heshima gani?
 
Amang'ana Tata . Na rire richunga kondoo rimo? Ama rimeng'ang'ana na asari mura.
 
Kwahiyo ndugu Erythrocyte, mnajiandaa kumpokea Riz na Gwaji?

Hizi siasa hizi!!!
 
Vipi mbowe naye Si mtuhumiwa vipi atajiudhuru?
 
Hilo haliwezi kutokea kamwe. Kwa sisiemu hii ambayo mama kawaachia makada wachume kwa kadri wawezavyo nani ajiuzulu. Hakuna mjinga wa kiwango hicho.
 
Kwa hiyo dawa za kulevya zinauzwa na majini kama sio wao basi waseme ni kina nani wauzangada maana majina walikuwa nayo siku nyingi
 
Hakuna namna sasa hivi Ili utrend lazima uizungumzie CCM na Mwenezi Komredi Makonda. Zaidi ya kuzungumzia nyumba ya Mbowe Chadema utazungumzia nini? Go Komredi Makonda go!! Ndio sababu ukawekwa hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…