CCM Vipande vipande, waliotuhumiwa kuuza madawa ya kulevya awamu ya 5 wapanga kujiuzulu

Hakuna mwanasiasa au mtumishi wa Serikali hapa Tanzania anaweza akajiuzuru labda apewe shinikizo haswa
 
hao watakua wanaelekea kwa mwabukusi bila shaka 🤣
 
Sasa jomba ukiandika bila facts unataka kumfurahisha nani..leta facts tuzione wajameni....mang'ana hayajasarika bado..ni janjajanja ya mitandaoni tu..kajipange upya
 
Tanzania hii iliyojaa viongozi machawa jitu liachie cheo thubutu!! Hilo haliwezekani na halitokuja kutokea
 
Watatoka CCM na kuhamia CDM a.k.a M4C
 
Karibu sana
Zamani ilikuwa mwanao akirudi Kutoka mjini ametajirika Kwa muda mfupi, wazazi walimkalisha kikao kumuuliza pesa umepataje pataje,

Sikuizi ukija umetajirika hata Kwa pesa za drugs unapokelewa Kwa Heshima, kaka zake wasiojaaliwa wanadharauliwa!!

Tutafika tu!!!
 
Haya
 
Kwakweli tokea nisikie CCM imegawanyika vipande vipande ni miaka mingi Sana na bado iliendelea kushinda uchaguzi hata kile kipindi kizito Cha 2015 Cha Mzee lowasa
 
Zingatia neno "Kujiuzulu", hilo sahau.
 
Mkuu usiwaamshe balale kama kambare ya Juba
 
Kwakweli tokea nisikie CCM imegawanyika vipande vipande ni miaka mingi Sana na bado iliendelea kushinda uchaguzi hata kile kipindi kizito Cha 2015 Cha Mzee lowasa
Haikushinda 2015 na 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…