Zanzibar 2020 CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

Hakuna mpambano, ccm haina mpinzani zanzibar
ni kweli, ila matokeo ya urais kwa upande wa zanzibar utakuwa mgumu, huenda wakapishana kwa % chache na kupelekea uchaguzi kurudiwa.
kiufupi ushindani utakuwa ni mkali
 
ni kweli, ila matokeo ya urais kwa upande wa zanzibar utakuwa mgumu, huenda wakapishana kwa % chache na kupelekea uchaguzi kurudiwa.
kiufupi ushindani utakuwa ni mkali
Sawa
 
ni kweli, ila matokeo ya urais kwa upande wa zanzibar utakuwa mgumu, huenda wakapishana kwa % chache na kupelekea uchaguzi kurudiwa.
kiufupi ushindani utakuwa ni mkali
Wacheni kujipa moyo maalim anashinda kwa asilimia 89 kama watakubali kua na sanduku la kura wasipokubali kinachofuata nikitendo cha Malawi sijaonapo dunia hii dola ikaishinda nguvu ya umma

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa Maalim atasimamia kauli yake ya liwalo na liwe.... Basi moto utawaka tu lazima.
Nadhani sasa hivi kwa sababu ya umri, hii itakua awamu ya mwisho kwa maalimu kugombea na kwa sasa hatakua na lolote lile la kupoteza na ameshesema hatawazuia vijana kuingia barabarani huku yeye mwenyewe akiwa frontline,akitekeleza hayo then Zanzibar ni pa kupaangalia kwa jicho la umakini sana.
 
Usubiri sanduku la kura usubiri jeshi na vikosi vitakavo tolewa bara kuletwa Zanzibar waje wapinduwe matokeo lkn marahii hatukubali lolote lile tukotayari

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wazanzibari wana ulemavu, ulemavu wa akili. Ni vema kuchaguliwa mtu wa kuwaongoza
 
Waliambiwa serikali tatu ndo sahii kwa kizazi cha sasa,
Waliamini kumiliki dola Ni kumiliki watu.
Mwenye mtaji wa watu ndie anaemiliki dola.Kama unamiliki dola na huna mtaji wa watu utakuwa sawa na Saddam, Gadaffi, Bashir.
Chama mfu Ni kile kinachobebwa na dola badala na watu
 
Warioba aliwahi kuwambia ccm bunge la katiba kama itafika wakati watazitaka 3 watazikosa mdandio huu maana hiyo moja hawatakua nayo kama wajifanya wana dola watu wana wasubiri maana vijana washachoka kimaisha kiakili kifikra na kimawazo liwache litoto marahii ni mwaka wa ukombozi kwa wazanzibar

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanataka mabadiliko
 
Sio wa kizazi hiki
Kizazi hiki ndiyo zaidi, bira kizazi cha akina jumbe. Btw kumbuka kuwa hata mapinduzi ya zanzibar hayakufanywa na wazanzibar. Kisa kikubwa cha wageni kutekeleza mapinduzi ni sababu watawala wa wakati ule walikuwa wakiwabagua na kunyanyasa wakuja, mfano: sultan alikuwa na kiti ambacho hupewa mgeni akalie kisha kinambana na sultani anamfira mgeni
 
Akili zao butu huwa awasikii.mfano tuliwaonya Sana msizuie mikutano ya siasa acheni watu waongee ili wasiwe na jipya.wakaongea peke yao miaka yote Leo zamu ya wapinzani kuongea wao hawana Cha kujibu.
Hakuna mccm yeyeto ameshazungumzia kuhusu wasiojulikana,ugumu wa maisha,
 
Wazanzibari wana ulemavu, ulemavu wa akili. Ni vema kuchaguliwa mtu wa kuwaongoza
Babu ccm tangu mwaka 1995 haija wahipo kushinda uchaguzi Zanzibar kila mwaka wanaiba na kuringia vyombo vya dola na kuwekwa na mtutu wa bunduki marahii umma ushaamua kama ni kuua watuwe sote lkn nchi itoke

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Due alikuwa laana tulaah kumbe
 
Itaondoka this time uzuri Mkapa hayupo ondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…