Pre GE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.

Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…