Pre GE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

Pre GE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Can hupa ya maji ya plastiki yenye kifuniko cha bluu. Ina lebo yenye maandishi yanayosema "RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA" na "Hongera Mh. Rais." Inaonekana kuwa ni bidhaa maalum inayosherehekea au kumpongeza Rais wa Tanzania.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1741522318407.jpg
 
KATA KIU NA MAMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1741522318407.jpg
 
Kuongozwa na mwanamke ni laana kubwa sana tulioachiwa Wa TZ muda ufike tu huyu mwanamke aondoke
..tafsiri ya yote haya ni HOFU haijawahi kutokea hofu ikaleta ushindi! labda wao waandike historia..
 
Hii ni ubunifu kuonyesha kwamba serikali inajali watu wake. Sina upinzani nao wabuni? Kwani kuna mtu kawazuia kufanya? Mimi nadhani tu wa mtu mwenyewe na sio kwamba nirushwa.
 
Hii ni ubunifu kuonyesha kwamba serikali inajali watu wake. Sina upinzani nao wabuni? Kwani kuna mtu kawazuia kufanya? Mimi nadhani tu wa mtu mwenyewe na sio kwamba nirushwa.
Machadomo full kuchanganyikiwa halafu sijui kitu gani hawa jamaa kujiona wasafi kenge wakubwa, SSH atawakalisha mapema sana na hawatoamini mama kizimkazi atavowakabia kwa juu.
 
Back
Top Bottom