Pre GE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nyingne
 
Attachments

  • IMG_0530.jpeg
    IMG_0530.jpeg
    101.5 KB · Views: 2
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.

Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua

View attachment 3257470View attachment 3257471
Pamoja na kampeni hizo zote haramu lakini bado wanaogopa kufanya uchaguzi huru.
 
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.

Tupia bidhaa nyingine ya CCM tusiyoijua

View attachment 3257470View attachment 3257471
CCM ikizalisha hizo bidhaa ni nongwa ila kina Yanga na Simba wao ni sawa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom