Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Nipo china naprint michupi yenye picha ya .......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuongozwa na mwanamke ni laana kubwa sana tulioachiwa Wa TZ muda ufike tu huyu mwanamke aondoke
..tafsiri ya yote haya ni HOFU haijawahi kutokea hofu ikaleta ushindi! labda wao waandike historia..Kuongozwa na mwanamke ni laana kubwa sana tulioachiwa Wa TZ muda ufike tu huyu mwanamke aondoke
Machadomo full kuchanganyikiwa halafu sijui kitu gani hawa jamaa kujiona wasafi kenge wakubwa, SSH atawakalisha mapema sana na hawatoamini mama kizimkazi atavowakabia kwa juu.Hii ni ubunifu kuonyesha kwamba serikali inajali watu wake. Sina upinzani nao wabuni? Kwani kuna mtu kawazuia kufanya? Mimi nadhani tu wa mtu mwenyewe na sio kwamba nirushwa.