Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nmuzungumzia chama Moja wapo alichohisishwa nacho ktk huo Uzi,shida Iko wap?Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika atatimkia chama kipi. Uwe unasoma uzi usiishie kusoma heading tu.
Afukuzwe ahamie huko Machadema kwani Kuna shida?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, habari kutoka ndani ya CCM zinabainisha kuwa CCM wameishaanza mchakato wa kumfukuza uanachama mbunge wa Kisesa, ndugu Luhanga Mpina.
View attachment 2882194
Inasemekana kabla mama hajasafiri kwenda Indonesia alitoa maagizo kwamba akirudi asikumkute Mpina bado akiwa ndani ya CCM. Sababu za kufukuzwa nduguMpina hazijawekwa wazi lakini kwa siku za hivi karibuni Mpina amekuwa mwiba mkali kwa mafisadi na chawa wanaofisadi na kuuza rasilimali za taifa kwa wageni huku wananchi wakiendelea kutopea kwenye umaskini na huduma mbovu za jamii.
Habari zaidi zinasema kabla ya kufukuzwa ndugu Mpina atapewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati maalumu ya CCM iliyoteuliwa na Rais kushughulikia suala hili ambalo wao wameliita tatizo la kinidhamu ndani ya chama. Haikuweza kufahamika mara moja kamati hiyo inaundwa na akina nani lakini chanzo kingine kutoka CCM kinadai katika kamati hiyo wamo Kinana, Makonda, Yusufu Makamba na wazee wengine mashuhuri wa CCM.
MAONI YANGU
Kufukuzwa kwa Mpina kutoka CCM kulikuwa dhahiri tangu alipoanza kuwavalia njuga mafisadi, wauza nchi na chawa wanaotafuna rasilimali za nchi bila kuhojiwa. Hili lilikolezwa na msimamo wake dhabiti wa kupinga uuzaji wa bandari kwa waarabu wa DP World.
Jambo ambalo mapaka sasa haliko dhahiri ni kwamba je akifukuzwa CCM atahamia chama gani? Possibly itakuwa CHADEMA kwa sababu baadhi ya wazalendo na wana intelejensia wanadai kuwa Mpina ni kada wa CHADEMA aliyetumwa kuingia ndani ya CCM kimkakati ili kukipeleleza chama hicho. Lakini mpaka sasa hakuna mwenye uhakika 100% kuhusu chama ambacho mpina atatimkia ili kimteue kugombea uchaguzi mkuu 2025 pindi akitupiwa virago na CCM. Huenda hata akuibukia ACT-Wazalendo. You never know but time will tell. Let us wait until the end of the movie.
Pia soma:
1. Tetesi: - Wabunge washauri Luhaga Mpina afukuzwe CCM
2. Tetesi: - Karibu CHADEMA Luhaga Mpina, Kazi tulikutuma CCM umeitendea haki.
NAWASHAURI CCM WAWACHUKUE KINA HALIMA MDEE NA WENZAKE KWANI IMEWABEBA SANAKama kichwa cha habari kinavyojieleza, habari kutoka ndani ya CCM zinabainisha kuwa CCM wameishaanza mchakato wa kumfukuza uanachama mbunge wa Kisesa, ndugu Luhanga Mpina.
Inasemekana kabla mama hajasafiri kwenda Indonesia alitoa maagizo kwamba akirudi asikumkute Mpina bado akiwa ndani ya CCM. Sababu za kufukuzwa nduguMpina hazijawekwa wazi lakini kwa siku za hivi karibuni Mpina amekuwa mwiba mkali kwa mafisadi na chawa wanaofisadi na kuuza rasilimali za taifa kwa wageni huku wananchi wakiendelea kutopea kwenye umaskini na huduma mbovu za jamii.
Habari zaidi zinasema kabla ya kufukuzwa ndugu Mpina atapewa nafasi ya kujitetea mbele ya kamati maalumu ya CCM iliyoteuliwa na Rais kushughulikia suala hili ambalo wao wameliita tatizo la kinidhamu ndani ya chama. Haikuweza kufahamika mara moja kamati hiyo inaundwa na akina nani lakini chanzo kingine kutoka CCM kinadai katika kamati hiyo wamo Kinana, Makonda, Yusufu Makamba na wazee wengine mashuhuri wa CCM.
MAONI YANGU
Kufukuzwa kwa Mpina kutoka CCM kulikuwa dhahiri tangu alipoanza kuwavalia njuga mafisadi, wauza nchi na chawa wanaotafuna rasilimali za nchi bila kuhojiwa. Hili lilikolezwa na msimamo wake dhabiti wa kupinga uuzaji wa bandari kwa waarabu wa DP World.
Jambo ambalo mpaka sasa haliko dhahiri ni kwamba je akifukuzwa CCM atahamia chama gani? Possibly itakuwa CHADEMA kwa sababu baadhi ya wazalendo na wana intelejensia wanadai kuwa Mpina ni kada wa CHADEMA aliyetumwa kuingia ndani ya CCM kimkakati ili kukipeleleza chama hicho.
Lakini mpaka sasa hakuna mwenye uhakika 100% kuhusu chama ambacho mpina atatimkia ili kimteue kugombea kwenye uchaguzi mkuu 2025 pindi akitupiwa virago na CCM. Huenda hata akuibukia ACT-Wazalendo. You never know but time will tell. Let us wait until the end of the movie.
Pia soma:
1. Tetesi: - Wabunge washauri Luhaga Mpina afukuzwe CCM
2. Tetesi: - Karibu CHADEMA Luhaga Mpina, Kazi tulikutuma CCM umeitendea haki.
Hawezi kufukuzwa huyo. CCM hawafukuzi mtu kwa kutoa maoni au kwa kuzungumza bungeni. Hii ndiyo tofauti kati ya ccm na wapinzani, wao wapinzani hawana uvumilivu hata wa maoni ndani ya chama. Mpaka usikie mtu kafukuzwa ccm basi ni issue kubwa. Usije kushangaa Mpina akarudi tena kupitishwa kugombea ubunge.CCM unapogusa maslahi yao binafsi huwa wanafinyika kirahisi mno! Huwa hawapendi kabisa ukosoaji mkubwa kwenye maslahi yao hasa ukiwa mwanachama wao prominent
Mahakama inaamua kwa maelekezo ya mwenyekiti wa ccmKwa nini asikimbilie mahakamani kama covid-19, akomae humo humo kupiga majizi spana,
Leo nimelala usiku kucha gizani, yaani Tanesco wana mgao hadi wa usiku, na joto hili la Dar na mbu mnalaza watu usiku mzima bila umeme, bado maswala ya kiusalama........wakiongea watu kama Mpina kupinga wizi na matumizi mabaya ya pesa za umma mnawaona maadui.
Chadema inahujumiwa na viongozi wao wanaokula meza moja na ccm kwa Siri lakini mbele ya wanachama wao wanajifanya mahasimu wa ccm!!CCM unapogusa maslahi yao binafsi huwa wanafinyika kirahisi mno! Huwa hawapendi kabisa ukosoaji mkubwa kwenye maslahi yao hasa ukiwa mwanachama wao prominent
Nawe usikariri; kila siku sio jumamosi. Alifukuzwa Sofia Simba sembuse Mpina. Acha kukariri matukio.Hawezi kufukuzwa huyo. CCM hawafukuzi mtu kwa kutoa maoni au kwa kuzungumza bungeni. Hii ndiyo tofauti kati ya ccm na wapinzani, wao wapinzani hawana uvumilivu hata wa maoni ndani ya chama. Mpaka usikie mtu kafukuzwa ccm basi ni issue kubwa. Usije kushangaa Mpina akarudi tena kupitishwa kugombea ubunge.
Refer to Nape, alimtusi mhe Mwenyekiti na bado jina likarudi!!
Kuna oil chafu inayofaa kwa matumizi mbadala na kuna oil chafu ni chafu kabisa haifai kwa lolote labda kuulia mende chooniHata mzee wa kimasai aliambiwa oil chafu muda ukaamua akaonekana hazina kwao. Hawapendi kupewa kioo wajione.
Usijitoe ufahamu, huyo Nape si alienda jumba jeupe kumpigia magoti jiwe ndo "yakaisha"!Hawezi kufukuzwa huyo. CCM hawafukuzi mtu kwa kutoa maoni au kwa kuzungumza bungeni. Hii ndiyo tofauti kati ya ccm na wapinzani, wao wapinzani hawana uvumilivu hata wa maoni ndani ya chama. Mpaka usikie mtu kafukuzwa ccm basi ni issue kubwa. Usije kushangaa Mpina akarudi tena kupitishwa kugombea ubunge.
Refer to Nape, alimtusi mhe Mwenyekiti na bado jina likarudi!!
Vipi kuhusu Makonda?Mpina aliwatesa sana wavuvi akiwa waziri. Huyu ingekuwa China angeshanyongwa hadi kufa
Mpina ana usafi gani uliotukuka?Hata nyie chadema mnamuona Mpina ni makapi na kuokoteza?
Basi acha afukuzwe tuu hana maana huko CCM.
Mpina karibu CHADEMA.Chadema wanamsubiri 🐼
Ahsante Sana 😂Mpina karibu CHADEMA.