Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kilichopo ni maslahi na makundi ndani ya chama... Kundi litakaloshinda nguvu ndio mtu wao atatolewa ama atabakishwa... Naijua ccm nje ndaniHawezi kufukuzwa huyo. CCM hawafukuzi mtu kwa kutoa maoni au kwa kuzungumza bungeni. Hii ndiyo tofauti kati ya ccm na wapinzani, wao wapinzani hawana uvumilivu hata wa maoni ndani ya chama. Mpaka usikie mtu kafukuzwa ccm basi ni issue kubwa. Usije kushangaa Mpina akarudi tena kupitishwa kugombea ubunge.
Refer to Nape, alimtusi mhe Mwenyekiti na bado jina likarudi!!
Sent using Jamii Forums mobile app