CCM waanza mchakato wa kumshughulikia Luhanga Mpina, awasili mbele ya kamati ya maadili CCM

Cdm wasikosee ikitokea lolote huko ccm na kumpa nafasi yoyote ya uongozi. Hao wahuni huwa wanakuja na hizo mbinu za kizamani wakidhani watawapoteza cdm. Cdm wanapaswa kujifunza kwa kosa la Lowassa, Nyalandu nk.
 
Kwa nini asikimbilie mahakamani kama covid-19, akomae humo humo kupiga majizi spana,

Leo nimelala usiku kucha gizani, yaani Tanesco wana mgao hadi wa usiku, na joto hili la Dar na mbu mnalaza watu usiku mzima bila umeme, bado maswala ya kiusalama........wakiongea watu kama Mpina kupinga wizi na matumizi mabaya ya pesa za umma mnawaona maadui.​
 
Afukuzwe ahamie huko Machadema kwani Kuna shida?
 
Chadema!
Kam atakuja na moto huu huu wa kujitolea kwa ajiri ya wananchi chadema panamfaa
Ila inabidi awe tayari kwa lolote lile
Kutuknwa, kudhiakiwa, kufirisiwa, kuwindwa,
Maana ukiwa chadema matajiri na mafisadi papa wote, na wajinga pamoja na wafitini watakuwa maadui zako
Wengi wameondoka chadema wanabaki waliojitoa kuwatetea wanyonge na wananchi kwa dhati na moyo
Karibu chadema
 
NAWASHAURI CCM WAWACHUKUE KINA HALIMA MDEE NA WENZAKE KWANI IMEWABEBA SANA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
CCM unapogusa maslahi yao binafsi huwa wanafinyika kirahisi mno! Huwa hawapendi kabisa ukosoaji mkubwa kwenye maslahi yao hasa ukiwa mwanachama wao prominent
Hawezi kufukuzwa huyo. CCM hawafukuzi mtu kwa kutoa maoni au kwa kuzungumza bungeni. Hii ndiyo tofauti kati ya ccm na wapinzani, wao wapinzani hawana uvumilivu hata wa maoni ndani ya chama. Mpaka usikie mtu kafukuzwa ccm basi ni issue kubwa. Usije kushangaa Mpina akarudi tena kupitishwa kugombea ubunge.
Refer to Nape, alimtusi mhe Mwenyekiti na bado jina likarudi!!
 
Mahakama inaamua kwa maelekezo ya mwenyekiti wa ccm
 
CCM unapogusa maslahi yao binafsi huwa wanafinyika kirahisi mno! Huwa hawapendi kabisa ukosoaji mkubwa kwenye maslahi yao hasa ukiwa mwanachama wao prominent
Chadema inahujumiwa na viongozi wao wanaokula meza moja na ccm kwa Siri lakini mbele ya wanachama wao wanajifanya mahasimu wa ccm!!
Ndio maana wafuasi wao wengi wamelitambua hilo siku hizi na nyongo imewatumbukia! They are no longer enthusiastic na chama na ndio maana hata hayo maandamano yalikuwa hafifu!
Viongozi wajitafakari na kuona kama kuendelea kuwepo kwao kuna faida kwa chama au ni kwa maslahi yao na familia zao.
 
Nawe usikariri; kila siku sio jumamosi. Alifukuzwa Sofia Simba sembuse Mpina. Acha kukariri matukio.
 
Usijitoe ufahamu, huyo Nape si alienda jumba jeupe kumpigia magoti jiwe ndo "yakaisha"!
Kama si hivyo "kilema" angekipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…