CCM waanza mchakato wa kumshughulikia Luhanga Mpina, awasili mbele ya kamati ya maadili CCM

Haya ndio mambo ambayo wezi wa CCM hawapendi kuambiwa:

Your browser is not able to display this video.
 
Ashukuru Mungu kuwa CCM ni wavumilivu huyu angestahili awe ameshafukuzwa siku nyingi saana
Ni kweli kabisa mkuu. CCM hawapendi mtu anayefunua ufisadi wao kwa wananchi na kuwafumbua macho juu ya ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi hii. CCM ni zaidi ya wachawi, majambazi na wanyang'anyi.
 
Mimi naomba CCM ishughulike na umeme kwanza wamuweke pending mpina

Kama ni muhimu sana kumshughulikia.

Your browser is not able to display this video.
 
chama cha mapinduzi ni makini nafikiri chadema hawajajifunza hilo bado
Kweli kabisa mkuu. CCM wapo makini kwenye ufisadi, unafiq, utapeli, ujambazi, uchawa, ukupe na utapanyaji wa kila namna wa rasilimali za taifa. Wako vizuri sana.
 
Duh mchakato,wa kumshugulikia [emoji1]

Ccm hawapendi kupingwa

Ova
 
Duh mchakato,wa kumshugulikia [emoji1]

Ccm hawapendi kupingwa

Ova
CCM ni ukoo wa panya. Panya siku zote huwa hawapendi kupingwa kwa namna yoyote ile.
 
Mpina anaijua ccm vizuri,nilikuwa nashangaa ukosoaji ule.
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
 
Angetumia vikao vya ndani kukosoa ingependeza zaidi
 
Angetumia vikao vya ndani kukosoa ingependeza zaidi
Vikao vya ndani wote ni nyani tu. Kesi ya ngedere huwezi kuipeleka kwa nyani. Ndio maana aliamua kuliweka wazi kwenye kikao cha wananchi.
 
Wasiishie hapo waende na kwa yule konda mtukutu🤔
 
amebwekabweka weee saiv ana mbwela mbwela tu,

eti alitumwa na chadema 🤣
ndezi kweli..

kuachwa ni kitu mbaya sana aise 🐒
 
Ingekuwa ukoo huu wa panya uliangamia wote katika lile boti la muhugo tusingeona tusinge ona vituko na vimbwanga vya ukoo huu hata leo vya kutafuna boti tunayosafiria wote yawazekana katika boti ya awali iliyozamishwa kwa wizi walikuwepo manusura wa ukoo ulio laaniwa wa panya 😃
 
Ni Msema kweli na mpenda haki. Hizo sifa CCM HAZIHITAJIKI na HAZIPO, Yeyote aliye nazo anitwa muongo, na mchonganishi. Luhaga Mpina aliitwa na kamati ya maadili ya bunge akawapa shule na Spika Tulia aktangaza kwamba mashauri yote aliyoitiwa Luhaga Mpina kayajibu na ushahidi aliupeleka ukapokelewa na kuthibitisha alichokisema hakikuwa uongo, na akawa huru.
Hata hili hawatamuweza, atawashinda mapema sana.
 
Ila hivi karibuni chadem kidogo wadumbukie kwenye mzinga wa nyuki .baadhi lakini
 

Wanataka kumtengeneza Membe na Lowassa wa kizazi hiki. Wanataka aende chama cha upinzani halafu agombee uchaguzi ukiisha arudi kama Membe lakini haitawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…