CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

Ngeti waambie Watanzania, huyu bwana ni raia wa nchi gani? Kwa Kuwa umeamua kufunguka, funguka numla......
Kwahio Dialo sio Mtanzania? Niliwahi kufanya kazi na Jamaa anaitwa Mohammed Diallo kutoka Senegal
 
Hapa Ngetti anataka kusema kuwa Mwendazake kwa kushirikiana na Uncle Tony walimtaka kum-suicide Mzee Member?

Aje usiku na "uber"! Ngeti akahojiwe na Polisi atakua anajua mengi
Naunga mkono hoja hii na inazidi kudhihirisha ukweli wa alichosema Diallo
 
Kwenye uraia wa ANTONY NG'WANDU DIALLO Bollen Ngeti anapotosha,au makusudi au kwa kutoujua ukweli.

Uncle Tony ni msukuma original wa Ntunzu. Kwa sababu hiyo uraia wake hauna utata wowote. Ni mtanzania kabisa.
Kwa hiyo ni vema akajikita zaidi kutusimulia mipango na matendo ya kihalifu waliyokuwa wametekeleza,wanatekeleza na wanayotarajia kutekeleza.Kama hapo alipoeleza jinsi ambavyo "kumkalasisha" Membe ilikuwa "arbotive mission"!🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mimi kuhusu hayo mambo yake ya siasa na kufukuza wafanyakazi wake kazi,sina uelewa wa ndani lakini kuhusu uraia wake,na ohd yake nina uhakika wake 100 kwa 100,nakuomba umfuatilie kwenye vile vyuo alivyosoma utapewa facts kuwa kusoma kasoma

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwani ni raia wa wapi Mimi najua ni Mtanzania wa mwanza kabila lake n msukuma
 
Back
Top Bottom