CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

Ngeti waambie Watanzania, huyu bwana ni raia wa nchi gani? Kwa Kuwa umeamua kufunguka, funguka numla......
Kwahio Dialo sio Mtanzania? Niliwahi kufanya kazi na Jamaa anaitwa Mohammed Diallo kutoka Senegal
 
Hapa Ngetti anataka kusema kuwa Mwendazake kwa kushirikiana na Uncle Tony walimtaka kum-suicide Mzee Member?

Aje usiku na "uber"! Ngeti akahojiwe na Polisi atakua anajua mengi
Naunga mkono hoja hii na inazidi kudhihirisha ukweli wa alichosema Diallo
 
Kwenye uraia wa ANTONY NG'WANDU DIALLO Bollen Ngeti anapotosha,au makusudi au kwa kutoujua ukweli.

Uncle Tony ni msukuma original wa Ntunzu. Kwa sababu hiyo uraia wake hauna utata wowote. Ni mtanzania kabisa.
Kwa hiyo ni vema akajikita zaidi kutusimulia mipango na matendo ya kihalifu waliyokuwa wametekeleza,wanatekeleza na wanayotarajia kutekeleza.Kama hapo alipoeleza jinsi ambavyo "kumkalasisha" Membe ilikuwa "arbotive mission"!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kwani ni raia wa wapi Mimi najua ni Mtanzania wa mwanza kabila lake n msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…