CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

Kama ni Mnafiki asipewe nafasi kusikilizwa.

Hatujui safari hii anakuja na mbinu ipi.

Ukishajipaka mavi tusitukaribie hata kama una Mkate. Umenajisikaaa

Hadi UOGE. kwanza Atubu kama ni mnafiki kweli. Ndio aje acheze na sisi

Ushasema kama, vipi ikiwa sio kama?

Kumnyima nafasi ya kusikilizwa unamaanisha kumtisha au kumziba mdomo, hii si sawa…. acha aongee 'porojo' zake kisha tuzijibu ipasavyo.
 
Kwa hili nimeamini! Aliitwa usiku kwa masharti ya kupanda "Uber" na sio gari take! Ina maana angeenda peke take bila hata walinzi wake wala dereva wake.

Kingetokea nini usiku huo?? Duh Mungu anaipenda Tanzania sana
Sasa Uber inatumia mfumo wa kidijitali ungeonyesha details zote phone number ya travel requester pick up and dropping off locations car reg number timelines etc hence very easy to trace
 
Hapa Ngetti anataka kusema kuwa Mwendazake kwa kushirikiana na Uncle Tony walimtaka kum-suicide Mzee Member?

Aje usiku na "uber"! Ngeti akahojiwe na Polisi atakua anajua mengi
Membe Pamoja na Kwamba simkubali alimalizwa NGUVU pale Msasani Na hata dada mbeba makabrasha yake alizuiwa Mara kadhaa kumpelekea BAADHI ya Nyaraka
 
Sasa Uber inatumia mfumo wa kidijitali ungeonyesha details zote phone number ya travel requester pick up and dropping off locations car reg number timelines etc hence very easy to trace
Kuna mtu alipigwa risasi 36 mchana kweupee na cctv camera zikaondolewa kuficha assassins
 
Hapa Ngetti anataka kusema kuwa Mwendazake kwa kushirikiana na Uncle Tony walimtaka kum-suicide Mzee Member?

Aje usiku na "uber"! Ngeti akahojiwe na Polisi atakua anajua mengi
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nimeona Boren Ngeti naye katapika Siri zote za Jiwe, Diallo, Membe.
Safi, tunakaribia, watamtaja aliyempiga risasi Lisu na kwa maagizo ya Nani. Hata Azory na Ben Saanane wanaweza kupata waliowaua/waliowapoteza au wako wapi
Hata mimi naanza kuliona hili
 
Teuzi za kimalaya malaya mlizozoea enzi za yule dhalim mwendazake awamu hii hazipo
 
Diallo si jina la west Africa jamii ya mandinga
Dialo ni imsukuma toka kijiji cha Seke jina lake halisi alikuwa naitwa Antony Ng'wandu sielewi jina la Dialo alilipachika toka wapi
ila si mtu mnyoofu fedha na utajiri wake inasadikiwa ni mchongo ulihusisha baadhi madeni ya vita vya Kagera ambayo yalisamahewa ila watu wakacheza dili na serikali kuwalipa wao
 
Dialo alikuwa mnafiki kwakuwa JPM alikuwa hachelewi kukupoteza mazima.
Leo kafunguka, wengine wafuate.
Bollen Ngeti pongezi kwako, uchambuzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…