CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

Majina ya Anthoni ni mashujaa wa Mwezi July.

Hakuna shujaa mbele ya SMG.
Hata makomandoo wanapojua kuwa wamezungukwa na adui mwenye SMG wananyoosha mikono juu ili kujifanya kuwa wamejisalimisha ili watafute mbinu ya kukabiliana na adui.

Antony alijisalimisha mbele ya mwenye nguvu ya smg.
Leo yupo huru.
Mfungwa anapotoka gerezani anaweza kuelezea matatizo yaliyopo gerezani. Mfungwa hana haki ya kumkosoa askari gerezani akijifanya nunda anakupa bakora za kutosha.

Dialo ana haki ya kusema alichokua anakiamini wakati alipokua hana pa kusemea.

Hata hawa manabii wa leo kuna wakati ilikua ni mwiko kujiita nabii au kuanzisha kanisa kiholela lakini sasa dunia imekwenda mbele zaidi na kuimarisha haki za kuabudu kwa uhuru bila kutishwa na taasisi au dini nyingine.

Dialo yuko sawa na anatoa tahadhari huko tuendako.
 
Kamanda Kova kazi kwako imekwisha kuwa Nyepesi. Baada ya kupona Covid huyo bwana afunguliwe file.Inaonekana anajua mengi kuhusu wasiojukana.Atakusaidia wajulikane na Sheria ichukue mkondo wake
 
Mh. kwani huyu kijana si chakula cha wenyewe anapataje courage ya kuandika mautumbo haya kwa mzee ambaye Mb,,,,,o yake inasimamia kucha kabisa na anauwezo wa kumnaniliu kisawasasa
 
Ccm wapumvavu tu
 
Diallo ambaye hata hivyo PhD yake ina utata sawa na uraia wake. Mbona hata uraia na phd ya mwendazake nayo niyamashaka watu walipiga sana kelele hadi wengine kupotezwa, ni hivi haijalishi Diallo anamaovu kiasi gani hiyo mtajuana ndani ya ccm,sisi wenye akili timamu tulimwelewa sana kwamba nchi ilikabidhiwa kwa aliyena file toka mirembe,na wanaccm kama hamjaridhika na nyie ombeni kipindi kwa Odemba mufunguke kuhusu Diallo, yeye kashatema nyongo sasa mebaki kutafutana
 
Kwa ninavyoijua CCM haya maneno ni kama kuweka tone la sukari baharini ukitegemea kugeuza ladha ya maji

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote💥🙏

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 🕊🙏
 
Hapa Ngetti anataka kusema kuwa Mwendazake kwa kushirikiana na Uncle Tony walimtaka kum-suicide Mzee Member?

Aje usiku na "uber"! Ngeti akahojiwe na Polisi atakua anajua mengi
taratibu tutafika hadi kwa Lisu safari hii
 
Kwenye uraia wa ANTONY NG'WANDU DIALLO Bollen Ngeti anapotosha,au makusudi au kwa kutoujua ukweli.

Uncle Tony ni msukuma original wa Ntunzu. Kwa sababu hiyo uraia wake hauna utata wowote. Ni mtanzania kabisa.

ngetti ana hoja yenye mshiko ila kwenye issue ya uraia wa diallo hapo kaingia cha kike mazimaaa, hata hivyo iwe jua iwe mvua diallo kwenye pesa roho yake huwa anaitanguliza kaburini
 
Kwani maana ya tabia ni nini? Tabia ni pamoja na unachoongea, unachofanya, unavyotembea, unavyovaa, n.k. Iko siku utatushawishi kumsikiliza kichaa kwa sababu kutembea kwake uchi, hakuna uhusiano na anachoongea.
 
Hapo wapo wanaotamani uraia wake uhojiwe mara moja,ila wanasahau kama enzo nitofauti kidogo.
 
Nimesoma mpaka mwisho naona ni shutuma tu dhidi ya Diallo na juonesha kuwa unamfahamu kwenye harakati zenu za kisiasa. Ila kimsingi hujakanusha hoja aliyoitoa kuhusu Katiba iliyopo na uteuzi wa viongozi hasa suala la afya za wateuliwa. Kimsingi unachoonesha hapa ndg. Ngetti ni kama kinathibitisha alichosema Mzee Diallo.
 
Ngeti katutobolea siri nyingine!

Eti Dialo alipewa mision kutoka magogoni ya kummaliza Membe😀

Wanasiasa hawataenda mbinguni😀
 
Ngeti katutobolea siri nyingine!

Eti Dialo alipewa mision kutoka magogoni ya kummaliza Membe😀

Wanasiasa hawataenda mbinguni😀
Mungu alivyo wa ajabu unaweza kufika siku tunapokelewa na Jiwe na Azory Gwanda na Propesa Kalamagunzi
 
Tuonesheni mlikomfukia mpendwa wetu , Ben bin Raheeb wa Saanane.

Tunajua mnajua Mwendawazimu alimuua na ile bunduki yake aliokua anatamba nayo na kuturingishia kwenye TV.

Mmeshakua kizazi cha laana MaCCM.
 
Ngeti katutobolea siri nyingine!

Eti Dialo alipewa mision kutoka magogoni ya kummaliza Membe😀

Wanasiasa hawataenda mbinguni😀
Akili za MaCCM hazinaga akili, hii legacy ya Mwendawazimu ilikua inaona inatetea legacy, kumbe ndio anaifuta kabisa,😀😀😀😀

MaCCM Wameshaalaanika watesema yote.

ila sisi tunaomba watuonyeshe tu walipomfukia Mpendwa wetu Benn bin Raeeb wa Saanane.
Tunajua KICHAA kamuua ndugu yetu kwa bunduki yake ile aliokua anaturingishia kwenye TV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…