CCM waeneza propaganda Dodoma kumtuhumu Warioba kuvuruga bunge leo jioni

kingukitano inaonyesha hata hujui katiba ni nini maana uliyotaja yote hayawezi kuwakwa kwenye katiba bala ni kwenye sheria na sera mbalimbali halafu eti unajiona na wewe mwana harakati, nenda shule kwanza.

Hoja ninayojenga hapa Ni kuwa Katiba sio hitaji la nchi,I'm elite najua kabisa kuwa hayo Ni ya kiytendaji na sio ktk katiba,hivyo juhudi kubwa zipelekwe ktk haya


.
 
Last edited by a moderator:

Huyo malaika apaswaye kuyatimiza hayo mambo matano uliyoyasema akijaribu kujitokeza shetani ccm watampiga bomu la nyigulia atawanyike yasipatikane mabaki yake popote.

UKOME KUITA SERIKALI TATU NI POROJO ZA KISHETANI
nakutafutia tusi nikubandike usoni ili kila atakayekuona akudharau
 
Wameanza kugawana mbao mapema mnukuu Ndugai.
 
Hebu soma kanuni ya 47-1 na kanuni 31-1 ya kanuni na sheria ya mabadiliko ya katiba 20-3 kisha tunaweza kujua tatizo.
 

Hayo ni maoni yako wewe usitake yawe ya wtz wote Kama z'bar wana serikali yao why not Tanganyika? Kwanza sioni faida ya muungano, kwenda z'bar niwe na p'port wao tz free
 
Hili Bunge bora livunjwe tu kuliko kulinda maslai ya ccm.!
 
bantulile wakati bunge jioni linaamza prof lipumba alisimama kuomba mwongozo ili kanuni zifuatwe lakini sitta alikataa na kumuita warioba kuja kuanza kusoma. Kukawa hakuna room ya kuzuia uvunjaji kanuni zaidi ya kuwasha moto juu ya moto liwalo na liwe
 
Last edited by a moderator:

Lazma una matatizo katika kusoma mambo na kuyaelewa na kuweza kutofuatisha muktadha wa kila jambo and its application, sion sababu ya kumtukana huyo uliyemquote.
 
Hoja ninayojenga hapa Ni kuwa Katiba sio hitaji la nchi,I'm elite najua kabisa kuwa hayo Ni ya kiytendaji na sio ktk katiba,hivyo juhudi kubwa zipelekwe ktk haya


.

Kingukitano, kwa mchango wako wa awali na haya unayoyasema u dont fall within the ambit of being called an elite. Nenda kasome kwanza ujue kipi ni kipi na kinafaa wapi, unataka ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu utajwe kwenye katiba?
 

Acha kutetea CCM,ni upuuzi mtupu,inaumiza sana kuona kodi zetu zinachezewa
 

Mimi nadhani wewe ndiye mwehu kidogo labda!!

Sasa haya yoote utayapata kupitia mfumo gani??
 
Kwa hiyo Ndugai anafurahia kuwa Sita hamzidi akili wala uwezo, wote ni flat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…