Uchaguzi 2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

Skyway

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2019
Posts
293
Reaction score
313
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee.

Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini Sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
 
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwasasa ni kama ccm inajipanga kupata mgombea safi kuweza kungoa mbunge wa sasa Halima Mdee- wanaotajwa upande wa ccm ni Kipi warioba, Angela kiziga, Benjamini sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
 
Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Sheikh ungefaa sana, better than wote hawa wanaobeba majina ya Baba Zao, ama huyu dada aliyewasahau wapiga kura wake na kubakia activists kama musiba.

Nakushauri usife moyo hata chembe go for it, once ukishaamua tutakushauri mapungufu yako, yanayohitaji marekebisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Trend yako ina uwezekano mkubwa kutokea.

Bunge likiwa na chama kimoja linaweza kuwa bunge la ajabu maana wengi hata kwenye kutimiza majukumu yao watajificha kwenye kichaka cha kujikomba kupata uwaziri.

To be honest, CDM enzi zile Dr. Slaa akiwa mjengoni ilikuwa na wabunge wachache sana, ila walikuwa very clinical.

Msimu wa "Baba" kuna Watanzania wachache sana wenye ujasiri wa kumwambia "Baba" hili sio sawa, ungefanya hivi matokeo yake yangekuwa bora zaidi.
Mnazareth aliwahi kuuliza; atakapukuja ataikuta imani???
Imani moja wapo ni ku-reason kwa pamoja na wakubwa/mkubwa kwa hoja pasi uwoga. Maana Muumba mwenyewe kuna sehemu kasema ...come and let us reason reason together...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Pascal, tumehuru inakuja hivyo mawazo hayo ondoa kuhusu CCM. Jamaa safari hii wamedinda, hakuna tumehuru hakuna uchaguzi. Na Nina kuhakikishia kama hili wanalidhania ni utani basi vita yetu ya ndani yaja.
Na huo ujeuri utaleta hivyo vita, watu watakufa maana ni vita. Wao watakufa na sisi walala hoi tutakufa.
Wakubwa watakapopoteza wapendwa wao ndio watajua haya tuyasemayo Leo yalikuwa ya nia njema kunusuru nchi.
TUMEHURU NDIO AMANI YA NCHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia kwetu Kawe ukweli ni kwamba kihalali Halima Mdee hawezi kushidwa. Kipi Warioba aliiba sana lakini akashidwa na sasa Halima ni mtu mzima zaidi na anapedwa zaidi. Vijana wa vijiwe wote ni wa Halima saaa ni ngumu sana. Ukienda kwenye masoko ya samaki , stendi za bodaboda wote Halima. Kihalali pale pa gumu ni fujo tu mnaandaa.

Kule ununio hatuoni pesa ya kodi serikali inapeleka wapi hakuna barabara za ndani wakati sisi niwalipa kodi wakubwa sana umeme tumevuta wenyewe, maji tumeweka wenyewe hata kituo cha polisi tunataka kujenga wenyewe lakini serikali inataka tuwape pesa wajenge!. Yaani kila mtu anaweka ulinzi binafsi kwenye nyuma wakati tungeweza kuwa na polisi na tukamlipa lakini tatizo sio Mbunge. Mbunge anadai mambo yote na watu wanaona hilo tatizo ni serikali ya mkoa. Barabara chafu wakati watu wanalipia kodi
 
Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Waweza kuwa right,muhimu kwetu ni Amani,utulivu, upendo na haki.
Mwenyezimungu yupo Ndugu zanguni,yeye anatuona lakini sisi hatumuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi alishapewa za shingo labda anadhani kuna wageni wasiyo mjua hapo kawe?
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kungoa mbunge wa sasa Halima Mdee- wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela kiziga, Benjamini sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe

In God we Trust
 
Back
Top Bottom