Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee.
Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini Sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Duh...!, mimi tena?.
Wajipange kuing'oa Corona nchini kwanza. CCM na Corona lao mojaHali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee.
Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini Sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Kwaniw mwaka huu wewe naw chama chako mtafanya uchaguzi gani tena?si mmeshapita bila kupingwa.Kama mazingaombwe ya Serikali za mitaa.Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Wajipange kuing'oa Corona nchini kwanza. CCM na Corona lao moja
Mkuu Kihava, Corona ni janga deadly si busara kuifananisha na chama chochote cha siasa.CCM NA CORONA LAO MOJA
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee.
Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini Sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Mbona hukumkemea huyo kichaa ukaishia tu kusema du! Kumbukumbu tunazoMkuu Kihava, Corona ni janga deadly si busara kuifananisha na chama chochote cha siasa.
Kuna kichaa mmoja aliofananisha Corona na wapinzani, hata mpinzani anayefananisha Corona na CCM ni kichaa tuu.
P
Kumbe Kaka "P" kumbe na wewe ulipanga kumng'oa Dada yetu ... !!!Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
True.Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Watanzania wenzangu mwaka 2020 ni wakati muafaka kuwapumzisha wale wabungeni "wapenda kesi" wakajitafakari kuna mtu miaka mitano yote yeye na kesi tu pale Kisutu huku jimbo amelitelekeza. Ikiisha moja anakimbilia kutafuta nyingine kwa nguvu zote.Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kumng'oa mbunge wa sasa Halima Mdee.
Wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela Kiziga, Benjamini Sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Sijui kama atakuwa na sifa za kugombea tena hata kama atakuwa uraiani. Hii ni kutokana na kosa la kiufundi la kujipeleka Segerea na hatimaye kaambulia kesi ya kufanya fujo magereza.