Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwasasa ni kama ccm inajipanga kupata mgombea safi kuweza kungoa mbunge wa sasa Halima Mdee- wanaotajwa upande wa ccm ni Kipi warioba, Angela kiziga, Benjamini sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Hata ukipanga huwez kulitoa jembe.Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.Hata ukipanga huwez kulitoa jembe.
Sheikh ungefaa sana, better than wote hawa wanaobeba majina ya Baba Zao, ama huyu dada aliyewasahau wapiga kura wake na kubakia activists kama musiba.Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Duh...!.Sheikh ungefaa sana, better than wote hawa wanaobeba majina ya Baba Zao, ama huyu dada aliyewasahau wapiga kura wake na kubakia activists kama musiba.
Nakushauri usife moyo hata chembe go for it, once ukishaamua tutakushauri mapungufu yako, yanayohitaji marekebisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trend yako ina uwezekano mkubwa kutokea.Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Pascal, tumehuru inakuja hivyo mawazo hayo ondoa kuhusu CCM. Jamaa safari hii wamedinda, hakuna tumehuru hakuna uchaguzi. Na Nina kuhakikishia kama hili wanalidhania ni utani basi vita yetu ya ndani yaja.Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Paskali Kawe itagawanywa na kuwa na majimbo mawili ,KAWE na MABWEPANDE huenda ukapewa JIMBO moja ugombee!! MAYALLA kwetu ni NJAA.Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Waweza kuwa right,muhimu kwetu ni Amani,utulivu, upendo na haki.Mimi siwezi kwasababu sitaki kununiwa na machalii wangu, ila kwa mujibu wa trends za political dynamics na hii political landscape tuliyonayo sasa, kwa uchaguzi wa 2020 kwa huku bara ni CCM and CCM only.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
Kachukue sisi wanaJF TUTAKUPIGA TAFU MKUU TUKO ZAIDI YA 1m tukikuchangia mawazo na rasilimali kama chadema mbona unaupata.......ila sasa uwe nutralDuh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Hali ya kisiasa jimbo la Kawe kwa sasa ni kama CCM inajipanga kupata mgombea safi kuweza kungoa mbunge wa sasa Halima Mdee- wanaotajwa upande wa CCM ni Kipi warioba, Angela kiziga, Benjamini sita na vigogo wengine wawili waliokuwa wabunge 3 wa majimbo ya mikoa ya bara na sasa wanapanga kugombea jimbo la Kawe
Wameshapima Corona?
Duh...!. Mimi mwenyewe naishi Kawe na nilipanga..
P
Hata ukipanga huwez kulitoa jembe.