Uchaguzi 2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

Wacha kumchuuza mwenzako maana atapigwa za shingo kama agent wenu Mbatia alivyo chakazwa na huyo Kipi alivyo nawishwa

In God we Trust
 
Kama wanavyo jikomba sasa hivi yaani hakuna cha maadili sasa ni full kujikomba tu
In God we Trust
 
Wape salaaaam
In God we Trust
 
Wape salaaaaam hao maccm
In God we Trust
 
Sijui kama atakuwa na sifa za kugombea tena hata kama atakuwa uraiani. Hii ni kutokana na kosa la kiufundi la kujipeleka Segerea na hatimaye kaambulia kesi ya kufanya fujo magereza.
 
NIKWAMBIE USIJARIBU

CCM najua itafanya kuharibu na kuiba haki za watu Paskali usiwe mmoja wao katika jambo hili.
Hautakuwa na amani kamwe na utalaaniwa mpk na watoto, na maisha yako yote utatakiwa uwe mwana siasa ili kutuliza hofu na laana unapopewa vizawadi vya kisiasa.

Laana ya Bwana i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki. Mithali 3:33. Usiingie katika njia ya waovu, Wala usitembee katika njia ya wabaya. Mithali 4:14

Mimi naamini ushindi wa hira ni laana mbele za MUNGU chama cha ccm kinaweza kuonekana machoni pako ni kizuri sana lkn kuna mambo ya hira na uporaji wa haki.
Nimekwambia usije sema hapo baadae hatukukwambia, mjumbe hauawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unayoisema enzi, ni wakati angalau utawala wa kikatiba ulikuwa unaheshimiwa. Enzi za sasa, zimebadilika... SIasa imerudi kwenye harakati, kwa sababu ya kitisho cha aina ya utawala wa sasa... Nafikiri una macho na ufahamu wa kutambua mabadiliko..Hata hicho unachokisifu kilitokana na utendaji wa kuruhusu upinzani, bila kupigana.
 
Hao uliowataja wote hakuna mbunge hapo.

Kawe inamsubiri Dr Slaa!
 
 
huyo kippi huyo kila chaguzi za jimbo la kawe anagaragazwa na Halima, ebu mleteni tena 2020 muone atakavyo isoma namba!
 
ccm badala ya kuhangaikia mambo yenye tija kwa taifa na majanga yanayohusu nchi wao wanapanga wizi wa kura kumuondoa mdee! shame to ccm!
 
Kwani Mayalla ni jina la mama yake!?
 
Itasaidia nini P. Kuwa na CCM 100% huku bara ?!
Je ndiyo maendeleo tuliyoahidiwa na awamu hii ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kung'oa matatizo wanang'oa watu,sisasa za kijinga
Kwani majimbo ya sana ccm yana maendeleo yepi?
 
Pamoja Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…